Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Chadema mlizaliwa na matusi ?
Hivi huoni aibu kuwasemea mambulula kama hawa kichwani mbona unaonekana uko smart lakini umeamua kuiwekeza akili yako tumboni?matusi ni ninyi mnaojitukana ulishawahi ona wapi mgombea wa chadema anafanya hivi?
IMG_20201022_230227.jpeg
IMG_20201022_230224.jpeg
 
Mtukufu magufuli kaanza kampeni tokea 2016 anazunguka Nchi nzima akigawa pesa mpaka juzi juzi siku chache kabla ya kampeni kuanza alinunua jogoo kwa Tshs laki moja kule Rufiji na kumwahidia mzee mmiliki wa jogoo kumsajili kuwa baba yake wa hiali

Mzee hamnaxo huyo!
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    42.6 KB · Views: 1
Mbowe kwisha habari yake trh. 28/, lkn pia akiwa nje ya bunge itamsaidia sana kupata muda wa kuimarisha chama
 
ni sehem moja yapo ya kuonyesha nyie sio mazima, pale ambapo mnaonekana sio wazima lazima tuseme
Changia mada acha mahaba, hizo ni tabia za kimalaya!! We ndo mzima wakati huelewi hata unachoandika??
 
Naomba kujuzwa. yeye alifanya nini Chato ktk kipindi chake cha ubunge miaka 15?

Hakuna Lolote alilofanya miaka yote 15. Hakuna maji, hakuna barabara, Hakuna shule, Hakuna Zahanati hakuna what you name it!
Mambo yote yanayoonekana Chato kwa sasa ni yale ameyafanya baada ya kuingia kwene Urahisi:
1...Uwanja wa Ndege Chattle(Ufisadi)...!
2....Mbuga ya Wanyama Burigi(Ufisadi)
3.....Taa za barabarani(Ufisadi).
4......Barabara za Lami.
Bado hajafanya mpaka Sasa:
1......Maji bado tatizo Chattle.
2......Huduma za Afya bado.
3......etc!
 
Back
Top Bottom