Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Mzee alishachanganyikiwa, vibwengo walimhadaa kuwa upinzani umekufa!
 
Wachagga wa Hai aise siyo mbumbumbu kama maeneo mengine.....Wachagga nawaaminia na wanajitambua.
Kama ni ushindi kwa CCM lazima waibe...nje ya hapo hawapati kitu!!
Kura za CCM ziko kwa OCD Hai:
nakwambia Hai Mbowe asahau, hana chake, safari hii wananchi wa hai wameamua kumuondoa mzee Mbowe, wananchi wanataka kijana Safisha
 
sema mbowe kamalizwa kisiasa wiki ijayo asahau kuhusu ubunge wa Hai, wiki ijayo watu wanapindua meza mapema asubuhi
Kamalizwa kisiasa wapi? Hapo gheto kwa cyprian Musiba mnapovuta Bangi? Hiyo meza utaipindulia wapi huko? Maana Hai watu wengi wana Akili timamu hawaitaki CCM
 
nakwambia Hai Mbowe asahau, hana chake, safari hii wananchi wa hai wameamua kumuondoa mzee Mbowe, wananchi wanataka kijana Safisha
Wananchi wa wapi unawasemea? au wananchi wa hapo kwa Shemeji yako unaposhinda unaangalia tamthilia ?
 
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.

Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa haongei na Mawaziri wa Miundombinu, Afya na Elimu ndiyo maana Hai imechelewa Sana!!! Msikilize Mhe. Mbowe akiwa Bungeni:

Wakti Magufuli anasema maendeleo hayana CHAMA bado ameonekana kujipinga mwenyewe kwa kudai hakuwa na Connection ya kufanya kazi na Halmshauri ya Hai kwa vile Mbunge ni wa CHADEMA!
WHAT A CONTRADICTION?

Rais Magufuli anaonekana ni mwongo, mnafiki na MBAGUZI kwa kuyatenga majimbo yanayoongozwa na Upinzani waziwazi. Hii nchi Ni ya mfumo wa Vyama vingi hivo Rais anayechaguliwa hawezi kukataa kupeleka maendeleo ya jimbo fulani kwa vile tu wamechagua Wabunge na Madiwani toka
Chama Cha Upinzani!

Isambaze hii kwenye whattup .
 
Sasa mnajiona wazima nyie? Ivi nyie ni wa kufukuza wabunge kipindi cha corona alafu mnajiita MNA demokrasia

Mkuu ungetakiwa uandike kuhusu mada iliyopo hewani..! Sasa hicho ulichoandika umechangia nini kwenye mada??! Acha mahaba
 
Hivi tunachagua Raisi wa kutetea katiba ya vyama vingi au katiba ya chama kimoja?
 
Tulieni dawa iingie vizuri. Jitu hata hospital, maji, masoko, barabara linashindwa kuongea kazi yake kuhamasisha migomo ya kipuuzi nonsense kabisa.. Kwisha habari yake,aendelee kupiga faru John wake tu.Hongera DC. Sabaya, hakika kazi yako ni njema Sana.
Dawa ipi hapo kwa mfano? nini kazi ya upinzani? Kazi ya upinzani ni kupinga kukataa ujinga upumbavu wizi uonevu unyanyasaji uovu wote wa CCM, nyinyi wategemea uteuzi ndiyo kwisha kabsa, DC Sabaya Hana lolote propaganda zake za kishamba haramu za kishetani zimefeli tarehe 28 Nchi inaenda kupata uhuru kaburu Mkoloni mweusi atarejea chato ndipo Sabaya ataenda kuchunga ng’ombe na kuvuta Bangi
 
Magufuli Ni mnafiki Sana na huwa anadhani wananchi hawajui kinachoendelea, lakini pia tufahamu Ni kwanini waliamua kufuata bunge live ili wananchi tusisikie kile wabunge wetu wanachochangia
Alisema Halima mdee hajaomba chochote Bungeni kumbe hakujua Halima mdee hurekodi kila anachoongea Bungeni akamuumbua kwa kuachia video zote akiwa Bungeni
 
Duh,usicheze na teknolojia inaumbua sana
Mzee anahisi labda bado tuko zama za mediaval something very bad in modern poltiics. Hao wakazi wa Hai wengi wameelimika na habari zote za bunge wanazifuatilia, sasa sijui anamdanganya nani? Probably anajidanganya mwenyewe
 
Alisema Halima mdee hajaomba chochote Bungeni kumbe hakujua Halima mdee hurekodi kila anachoongea Bungeni akamuumbua kwa kuachia video zote akiwa Bungeni
Aibu ilikuwa kwake mkulu😂😂
 
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.

Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa haongei na Mawaziri wa Miundombinu, Afya na Elimu ndiyo maana Hai imechelewa Sana!!! Msikilize Mhe. Mbowe akiwa Bungeni:

Wakti Magufuli anasema maendeleo hayana CHAMA bado ameonekana kujipinga mwenyewe kwa kudai hakuwa na Connection ya kufanya kazi na Halmshauri ya Hai kwa vile Mbunge ni wa CHADEMA!
WHAT A CONTRADICTION?

Rais Magufuli anaonekana ni mwongo, mnafiki na MBAGUZI kwa kuyatenga majimbo yanayoongozwa na Upinzani waziwazi. Hii nchi Ni ya mfumo wa Vyama vingi hivo Rais anayechaguliwa hawezi kukataa kupeleka maendeleo ya jimbo fulani kwa vile tu wamechagua Wabunge na Madiwani toka
Chama Cha Upinzani!
asee huyu niaje ni kichwa hamna nawazaga ilikuwaje ikawa hivi...watz tunakwama arfu Yani huwezi amini Kama jiwe ni kichwa ndogo kiasi hii asee Yani ni mkuda wa kutosha maniga
 
Back
Top Bottom