CCM na Kaburi lao: Vitu KUMI ambavyo ni kitanzi kwa CCM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Kaburi lao: Vitu KUMI ambavyo ni kitanzi kwa CCM.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sekulu, Mar 2, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Katika uchaguzi ujao, CCM watashindwa Vibaya na watakuwa hawana watu wengi wa kuwasapoti, Utabiri wangu binafsi umeonyesha kwamba.


  1. Mwaka 2015 wazee wengi wanaoisapoti CCM huenda either wakafa(kwa umri) au Kuikimmbia CCM kutokana na Mambo haya wanayoyafanya.
  2. Vijana wengi wa sasa wanaoona ujinga wa CCM watakua wameitosa kutokana na haya yanayoendelea.
  3. Vijana wengi watakua na Mwamko na Hivo kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura na kukisapoti chama chochote cha siasa.
  4. Vijana wengi kuongezeka mitaani na kutokua na ajira
  5. Maisha kuwa Magumu
  6. Mishahara Duni.
  7. Unyanyasaji wa Raia
  8. Viongozi kutosikiliza wananchi.
  9. Pia utabiri wa mwenzangu Sheikh Yahya Husein utakuwa umetimia na hivo watu walowengi watakosa imani na serikari.
  10. Kutimia kwa utabiri wa sheikh Yahya Kutashusha sana hadhi ya kiongozi mkubwa sana wa Serikali, jeshi la polisi na Majesh ya ulinzi pamoja na kuhusisha wakurugenzi wengi kachia Ngazi.
  NI MTAZAMO WANGU!!!!!!!!

  Mungu ibariki nchi yangu na tuepushe na Viongozi wajinga wanaopenda kujifunza kupitia matendo yao.

  Naomba Kuwasilisha!!!!!!!
   
Loading...