CCM na hadith za kusadikika-kafumu kaumbuka

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Jana kwenye kampeni mwananchi anamuuliza kafumu mbona unayoahidi yashaahidiwa na watangulizi wako wa chama chako na hawakutekeleza na wewe utayatekelza vp?lilikuwa swali gumu sana na alibaki mdomo wazi!ccm msidanganye wanachi kimsingi tumechoka na hadith zenu,mnahangaika na nini sasa si muondoke? Miaka yote hii bado tupo gizani kweli??
 
Halafu wanasema miaka 50 ya uhuru. Hawana hata aibu ya kuwadanganya Watanzania wa leo walio macho,wenye fikra ya kutambua mema na mabaya. Wameishiwa na sera hawa mapapa. Tusubirie majimbo mengine bila shaka wapinzani watanyakuwa kila kona.
 
kila aina ya ovu hapa duniani mmelifanya!jasho na machozi ya wananchi ndo majaji na mashuhuda!msifikiri mungu yupo likizo la hasha!
 
kila aina ya ovu hapa duniani mmelifanya!jasho na machozi ya wananchi ndo majaji na mashuhuda!msifikiri mungu yupo likizo la hasha!

kwa mimi ninavyoona ni aibu tupu hakuna cha kuongelea kwa wao labda wawarubuni watz tu.
 
Wanatudanganya cc 2lio mbali utadhan cc ndio tutakao piga kura Igunga! Ni wapuuzi kweli. Magazeti yao jana yalimsifu mgombea wao eti kajieleza vizuri kwenye mdahalo!? Aliumbuliwa vbaya na wagombea wa cdm na cuf na wananchi wa Igunga walishuhudia. Sasa sijui wanapotuletea habari za uongo cc 2lio mbali wanafikiri cc ndio tutakaowachagua!? Ni aibu sana!
 
WanaIgunga, Mungu amesikia kilio chenu. Ni muda muafaka nanyi kufanya mabadiliko. Kuweni makini msijejutia.
 
Jana kwenye kampeni mwananchi anamuuliza kafumu mbona unayoahidi yashaahidiwa na watangulizi wako wa chama chako na hawakutekeleza na wewe utayatekelza vp?lilikuwa swali gumu sana na alibaki mdomo wazi!ccm msidanganye wanachi kimsingi tumechoka na hadith zenu,mnahangaika na nini sasa si muondoke? Miaka yote hii bado tupo gizani kweli??
...Wakati mwingine kuwa member wa Magamba unahitaji moyo mgumu sana. Maana unajua wazi kuwa mambo unayowahidi watu watangulizi wako walisema hayo hayo na hakuna kilichofanyika bado na wewe unavaa uso wa goti unasimama jukwaani unakomaa kwa mambo hayo hayo. Lazima uwe na roho ya mwendawazimu...... (J.K. Nyerere)
 
Hizi ahadi wanaahidi majukwaani, wakishachaguliwa watasema hazitekelezeki kwa sababu kasungura kenyewe kadogo..
 
ngoma inogile. acha ccm wafanye majaribio ya kuchakachua matokeo manake 2015 mbombo ngafu!
 
Nawaonea huruma hawa ccm, 2015 wakina malecela, mangula, mkapa na wazee wengine watakuwa kwenye wheel chair tayari, sijui nani atawasaidia ccm kupiga kampeni.
ngoma inogile. acha ccm wafanye majaribio ya kuchakachua matokeo manake 2015 mbombo ngafu!
 
ahadi za magamba walizotoa kwenye last general election hazitekelezeki,watafute mbinu mpya maana hatujasahau bado!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom