CCM na Dangote wana biashara gani? Au ndiyo kusaka mtaji wa uchaguzi ujao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Dangote wana biashara gani? Au ndiyo kusaka mtaji wa uchaguzi ujao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Jul 15, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]


  [​IMG]


  [​IMG]
  Bilionea tajiri kuliko wote barani Afrika Aliko Dangote (Pichani) toka Nigeria akiwa na katibu mkuu wa CCM Wilson Mukama jijini Dar. Dangote yumo nchini Tanzania kwa ziara ya kibiashara. Ajabu ya maajabu jamaa huyu anayetambulishwa kama mwekezaji tunaambiwa ni mgeni wa Chama Cha Mapinduzi. Je CCM ina biashara gani? Wapo wanaodhani kuwa huyu jamaa alitaka kuwekeza nchini lakini CCM ikamnyaka ili kuanza kusaka pesa ya kuchakachua uchaguzi ujao. Wenye kuweza kujua watupe mantiki ya mwekezaji kuwa mgeni wa CCM chama tawala. Je hii haiwezi kuleta mgongano wa kimaslahi hata kama jamaa ataamua kuwekeza nchini? Maana huu ni ushahidi kuwa Dangote ni mtu wa CCM ambaye anaweza kupewa upendeleo ili alipe fadhila baadaye. Je tunamkaribisha Chavda mwingine?
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Dangote anajenga kiwanda cha Saruji Mtwara. Lakini bado sijaelewa kwanini awe mgeni wa chama cha siasa! Nahisi CCM wanataka kuwa shareholder kwenye hiki kiwanda na kama kweli litakuwa hivyo, basi tujue corruption inaingia kwenye level nyingine.
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  akili yako kubwa sana. Huyu ni mfadhili mkubwa wa chama tawala cha nigeria. Ni vyama vilivyogeuzwa kuwa vya mafisadi hivi. Nahisi wanataka kumuuzia gesi yetu maana nimemuona wakizungumza na yule jamaa mtundikaji wa makoti hewani ie pm kuhusu mambo ya kusini. Hapa ni lazima wananchi tuwe macho, nawaomba wale walio mbele kwenye usemaji wafuatilie huu mchakato.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Dangote is not your average businessman, atageuza hii nchi miguu juu. Na kama hatukuwa makini tunaweza kujikuta hii nchi inaitwa Republic of Dangote.
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nadhani atakuwa ameingizwa chaka na wajanja wachache kuwa cCm itaendelea kutawala milele huku wakijua imebakiza miaka 3. Kuna jamaa yangu mzungu aliniambiwa hakuna aliyewekeza huku Afrika bila kutoa rushwa kwa watawala
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nangote anawekeza kwenye kiwanda cha saruji huko kusini mwa TaNZANIA ; huyu bwana hata hivyo amekwisha weka mitandao yake humu nchini tayari kwa kuwekeza katika maeneo mengi tu!! Mpaka sasa kama nyie vilaza hamjui mwenzenu Nangote anayo benki yake ya biashara humu nchini ,tayari kwa kuchuma !!!
   
 7. M

  Magesi JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natamani nikiamka asubuh nikute BREAKING NEWS miili ya viongozi wa serikali yatanzania imekutwa katika msitu wa mabwepande zikiwa hazina kichwa habari zaidi zitakujia kadir tutakapozidi kuzpata
   
 8. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  huyu jamaa pia ni zulumati mkubwa. huko kwao ana kashfa ya kutaka kuidhulumu kiwanja familia ya aliekuwa waziri wa fedha wa kwanza wa nigeria, marehe
  u festus okotie eboh. lwani ule mradi wake wa saruji ntwara umefikia hatua gani?
  huyu bwana ni mtu wa obasajo na mfadhili wa chama twawala ngr, pdp. ushoga huu na ccm ni wa mshaka.
   
 9. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...Huyu Bilionea namba moja Africa, Aliko Dangote anataka kufanya biashara gani na CCM....

  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Mwekezaji kutoka Nigeria, Aliko Dangote, wa Dangote Industries Ltd alipowasili Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo, Julai 15, 2012, kwa ajili ya mazungumzo mbalimbali ikiwemo namna mwekezaji huyo anavyoweza kufanyakazi na Chama Cha Mapinduzi katika nyanja kadhaa za kibiashara. Kulia ni Balozi wa Nigeria hapa nchini, Dk. Ishaya Nanjabu.
  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha kwa bashasha, Mwekezaji kutoka Nigeria, Aliko Dangote, wa Dangote Industries Ltd alipowasili Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo, Julai 15, 2012, kwa ajili ya mazungumzo mbalimbali ikiwemo namna mwekezaji huyo anavyoweza kufanyakazi na Chama Cha Mapinduzi katika nyanja kadhaa za kibiashara. Katikati ni Balozi wa Nigeria hapa nchini, Dk. Ishaya Nanjabu.
  [​IMG]
  Mfanyabiashara wa Kampuni ya Dangote Industries Ltd ya Nigeria, Aliko Dangote akitia saini kitabu cha wageni Ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) baada ya kiwasili. Kushoto ni Balozi wa Nigeria hapa nchini, Dk. Ishaya Nanjabu.
  [​IMG]
  Mukama na Ujumbe wa mgeni huyo wakiwa katika mazungumzo kwenye ukumbi wa sektretarieti Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM

  source: Haki Ngowi Blog
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=2]No.1 Aliko Dangote[/h][​IMG]
  Net Worth:[​IMG]$11.2 billion – As of March. 2012
  Source of wealth: sugar, flour, cement , self-made
  Age:54 ,Citizenship: Nigeria , Residence: Lagos, Nigeria
  Marital Status: Married, Children:3
  Aliko Dangote is Africa's and Nigeria's Richest Man as of 2012 according to Forbes Magazine with a net worth of $11.2 billion.
   
 11. M

  Moony JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dangote si mgeni Dar es Salaam. ni muda mrefu sasa, kama FJM alivyosema, anajenga kiwanda cha saruji huko Mtwara.
  Kuna dada mmoja nadhani Emma Kawawa ndo anafanya naye kazi. kulikuwa na fununu mwaka juzi alitaka kuwekeza pia katika mradi wa kufua umeme. Nadhani sasa CCM wanataka kumfisadisha vianzo vya gesi in exchange with cash.
  Lakini si tajiri tena kiivyo kwani biashara kule kwao zinaenda joshi hivyo kaona aje kwenye shamba la bibi kwanza achune.
  Na kwa huyu, Tanzania itabaki mifupa, ngozi yote itakwenda.
   
 12. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wanangu natamani huyu Dangote akamatwe na kuwekwa Segerea kwa muda wakati tukimchunguza. Ila kama tutafikiria vizuri, hakuna haja ya kumlaumu inzi wakati mtoa ushuzi yupo. Hapa mbaya wetu si Dangote bali Chama Cha Magamba ambacho kimeishiwa kiasi cha kutapeliwa na kila mwizi awaye. Kilizoea kula na wahindi sasa kimechoka baada ya kuona wanaanza kuunga mkono CHADEMA. Sabodo anayefadhili CHADEMA msidhani anatoa pesa yake peke yake. Shame on CCM.
   
 13. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Umkamate Dangote wa nini?
  Usipoteze Dira ndugu yangu,
  Wakukamatwa na kuwekwa ndani ni viongozi wa CCM,
  kila kitu tayari kwa viongozi hawa kutiwa kizuizini isipokuwa Time.

   
 14. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Of all people? Mnigeria kuwekeza Bongoland tena kwa uswahiba na ccmabwepande - basi kwisheney!! Hapa inabidi tuanze mbinu kama zile za SA wakati wa utawala wa makuburu kufanya sabotage ya wadekezwaji mpaka wakubali kuwa wawekezaji.
   
 15. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  His visit to the General Secretary of the Ruling Party is questionable and indeed unhealthy.
   
 16. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Dangote ameanzia biashara afrika na amekulia africa..anajua buttons za kubonyeza.
   
 17. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Sisi wanyonge ni lazima tujifunze rules za game,
  Sabotage ya investment si kitu cha maana,
  Wageni wanaingia hapa kwa udhaifu wetu,
  Tuna viongozi Nyanya,
  miguu yao iko wazi mno,
  Wanapenyezwa Lupia nduchu tu goli,
  We need investors,
  We need rich people,
  but not in these dubious contracts.

  Kilicho tufikisha hapa,
  Ni kuamini kila kisemwacho na CCM na serikali yake,
  Na kujenga maisha yetu yote juu ya matumaini hewa.
  utasikia;
  Tunamkakati,
  Tumedhamiria,
  Tunajiweka sawa,
  Tumejipanga,
  Tunasikiliza kero,
  Leteni kero zenu,
  Amani na Utulivu
   
 18. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Watch out mkuu..maneno hayo..this is the richest black man in the world asee,na utajiri wake ulimultiply kwa 500+% mwaka 2011,he is a very strategic investor..ana viwanda vya saruji kwenye nchi nyingi sana africa including benin,nigeria,zambia n.k..he is a big shot.anajua biashara,and especially biashara na waafrika.
   
 19. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mh! ngoja niwahi kununua mihogo ya kuchoma kwa mama mbeketule nipate kitafunwa cha breakfast maana hali yangu naijua mwenyewe!
   
 20. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  This time lazima magamba mtoe hadi tiGo zenu kwa frustrations.
   
Loading...