Ccm na cuf zanzibar wanaitaji kutolewa mapepo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
HAWA CCM NA CUF -ZANZIBAR WANAITAJI MAOMBI SANA

Maelfu ya wafuasi wa chama cha CUF na CCM Zanzibar wakijumuika katika maandamano ya kuunga mkono kauli ya katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ya kutaka uchaguzi mkuu visiwani humo usogezwe mbele, Maandamano hayo yalianza katika uwanja wa Maisara na kuishia kiwanja cha Demokrasia Kibanda Maiti jana.
 
Back
Top Bottom