Kweli kabisa! Mtu anakupa kura kwa kumnywesha Chimpumu siku moja tu!!Hii ndiyo hali halisi ya siasa za Tanzania!
Dah! Aisee hii kali!
Mkuu naomba uhifadhi hii picha kwa ajili ya ushahidi (au nipe mimi copyright) maana hawa jamaa huwa wanakana kuwa wao ndoa yao ni zenji tu na sio huku bara.
Sasa hapo imejidhihirisha waziwazi.
Cheki hata hao kinamama wamechanganya jezi za wanandoa hao wawili.
Kwa hili nadhani wamezidi kujichimbia kaburi.
Yu wapi Mtatiro aje atoe maelezo ya hii kitu.