CCM na CUF wanawahonga pombe wakazi wa Igunga

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Baadhi ya Wazee na akina mama wa Igunga wahongwa Pombe ili kuiunga mkono CCM...ni kwenye kikao kilicho itishwa na CCM na CUF kwa ushirikiano......pata picha kwa mjibu wa mchina simu
Chapombe.jpg
Pombe ccm.jpg
Ccm wakinywa pombe.jpg
 
Dah! Aisee hii kali!
Mkuu naomba uhifadhi hii picha kwa ajili ya ushahidi (au nipe mimi copyright) maana hawa jamaa huwa wanakana kuwa wao ndoa yao ni zenji tu na sio huku bara.
Sasa hapo imejidhihirisha waziwazi.
Cheki hata hao kinamama wamechanganya jezi za wanandoa hao wawili.
Kwa hili nadhani wamezidi kujichimbia kaburi.
Yu wapi Mtatiro aje atoe maelezo ya hii kitu.
 
Kweli aiseee!!!! Gauni CUF Kilemba CCM.. Duh!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom