CCM na CHADEMA na "ubabe-dume"

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
WANAJAMVI,NAWASALIMU NIMELETA THREAD HII KUJENGANA KIFIKRA ZAIDI KUHUSU HIVI VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI NI CCM CHINI YA MWENYEKITI JAKAYA KIKWETE NA CHADEMA CHINI YA AIKAELI MBOWE MOSI NI KUTOKANA NA KUNA MAKADA NA WANACHAMA AMBAO WANAONA KWAMBA WAO NDIO WANAMILIKI HIVI VYAMA NA PALE UNAPOTOA HOJA YA KUKOSOA UTENDAJI WA VYAMA HIVI ILI WAJITATHIMINI, KUNA WATU AMBAO NITAWAITA MAKADA UCHWARA, WANAJIONA WAO NDIO WANAFAA KUKOSOA TU.MFANO MDOGO JANA NILILETA PONGEZI ZANGU KWA MBUNGE JOSHUA NASARI KUNA MAKADA WENZANGU WALINISHUTUMU NA KUNILAUMU NANI AMENIPA MAMLAKA YA KUMPONGEZA MPINZANI KITENDO AMBACHO NAONA KWAMBA NI UCHANGA WA KUJUA MAMBO YA SIASA. NA KUFIKIRI WAO WANASEMA CCM INA WENYEWE, NA SISI TUMEVAMIA TU.NA TABIA HII IMEANZA KUWAINGIA HATA BAADHI YA MAKADA WA CDM AMBAPO NAIONA KAMA NI TABIA YA UBABE- DUME( male domance). KITENDO AMBACHO KINAMINYA UHURU WA MAONI . NAPATA TABU MBOWE ALIVYOMPONGEZA KIKWETE KULE HAI WAKATI WA UZINDUZI WA BARABARA ALITENDA DHAMBI MATHALANI KUNA VIJANA WAMEINGIZWA CCM AU CDM NA WAZAZI WAO NA KUJIONA WANA HATI MILIKI YA VYAMA NA WENGINE WALIOTUKUTA NI MAKAPURWA TU. NANI NI MMILIKI WA CCM NA CDM NAOMBA MICHANGO YENU WADAU
 

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Una hoja kiasi fulani,japo mada nzima ni maalumu kwa lumumba fc.
Chadema ni kwa wote.
 

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,938
2,000
WANAJAMVI,NAWASALIMU NIMELETA THREAD HII KUJENGANA KIFIKRA ZAIDI KUHUSU HIVI VYAMA VIWILI VIKUBWA HAPA NCHINI NI CCM CHINI YA MWENYEKITI JAKAYA KIKWETE NA CHADEMA CHINI YA AIKAELI MBOWE KUTOKANA NA KUNA MAKADA NA WANACHAMA AMBAO WANAONA KWAMBA WAO NDIO WANAMILIKI HIVI VYAMA NA PALE UNAPOTOA HOJA YA KUKOSOA UTENDAJI WA VYAMA HIVI ILI WAJITATHIMINI KUNA WATU AMBAO NITAWAITA MAKADA UCHWARA WANAJIONA WAO NDIO WANAFAA KUKOSOA TU.MFANO MDOGO JANA NILILETA PONGEZI ZANGU KWA MBUNGE JOSHUA NASARI KUNA MAKADA WENZANGU WALINISHUTUMU NA KUNILAUMU NANI AMENIPA MAMLAKA YA KUMPONGEZA MPINZANI KITENDO AMBACHO NAONA KWAMBA NI UCHANGA WA KUJUA MAMBO YA SIASA NA UFIKIRI WAO WANASEMA CCM INA WENYEWE NI SISI TUMEVAMIA TU.NA TABIA HII IMEANZA KUWAINGIA HATA BAADHI YA MAKADA WA CDM AMBAPO NAIONA KAMA NI TABIA YA UBABE- DUME( male domance) KITENDO AMBACHO KINAMINYA UHURU WA MAONI.NAPATA TABU MBOWE ALIVYOMPONGEZA KIKWETE KULE HAI WAKATI WA UZINDUZI WA BARABARA ALITENDA DHAMBI.KUNA VIJANA WAMEINGIZWA CCM AU CDM NA WAZAZI WAO NA KUJIONA WANA HATI MILIKI YA VYAMA NA WENGINE WALIOTUKUTA NI MAKAPURWA TU. NANI NI MMILIKI WA CCM NA CDM NAOMBA MICHANGO YENU WADAU

Hapo umeandika nini? Jifunze matumizi ya nukta, herufi kubwa, ndogo, paragraph, colon, semi colon ... etc
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom