CCM na Bunge tumkatae Halima Mdee Mahakamani, Kesi ya Mbowe ya ugaidi ilituacha utupu na ilitufunza

Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
2,576
2,000
Yaani
Ndugu zako walivyo vichwa maji sidhani kama watakuelewa.Kila kitu huwa wanataka mashindano na CHADEMA.Utadhani CHADEMA ni raia wa Yugoslavia na wao ndiyo Tanzania.
Ukitaka kuufahamu ugwiji wa CDM ndiyo hapo sasa.Wapo makini,wanavumilia/wamevumilia kwa maumivu ya miili,akili na kisaikolojia waliyosababishiwa na CCM kwa kutumia nguvu ya vyombo vya umma kama Tume ya Uchaguzi,POLISI,TISS,RC's,DC's,DED's na watumishi wengine.
Kila hila wameshinda na bado tunasonga mbele.Imagine,CDM wameporwa kura zao halali wakati wa uchafuzi mkuu na bado wanahubiri Amani,Haki,Utu na maridhiano.Je,CCM wanaweza kuvaa viatu vya CDM?
Tandikeni Katiba Mpya halafu mpira uwekwe uwanja sawa kwa wote halafu tuwasikilize watachoamua Watanzania.Hofu na uroho wa madaraka umewajaa tele.
 
Echisute

JF-Expert Member
Oct 16, 2018
422
500
MACHADEMA tuacheni CCM tuko imara sana. Mmelikoroga wenyewe mlinywe. Mdee ana haki zake na sheria anazijua. Subirini awawashie moto.

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Wewe siyo CCM bali utakuwa msukule wa CCM au Pimbi wa CCM. Aliyeleta huu uzi amejinasibu kwa ufasaha kabisa kama yeye ni CCM. Na content yake inajieleza vizuri kabisa na hakuna hata mstari mmoja alioandika kwa kuiongelea CHADEMA vibaya. Wewe ndiyo wale misukule wa Lumumba mliotolewa ubongo kichwani na kuwekewa kamasi.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
37,300
2,000
MACHADEMA tuacheni CCM tuko imara sana. Mmelikoroga wenyewe mlinywe. Mdee ana haki zake na sheria anazijua. Subirini awawashie moto.

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Hizo ndio akili fupi sasa! Unajua mahakamani litaibuka suala la kufoji nyaraka (jinai) kwa hao wajiitao wabunge, Tume ya uchaguzi na Bunge.
Maana yake serikali imejihusisha na jinai ya kugushi nyaraka.
Kashfa hii itamuingiza PM matatizoni na kikanuni kwa kashfa kama hiyo anapaswa kujiuzulu na hataki afukuzwe kazi.
Unajua repercussion yake kwa nchi?
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
4,454
2,000
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya

Sio kila kitu lazima uweke ujuaji, mambo mengine unanyamaza Tu na kuacha yaendelee,

Mpaka wameingia bungeni mpaka wameapishwa serikali inajua kilakitu

Serikali inamkono mrefu na ina mifumo ya kujua kila jambo
 
Nziiriman

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
241
500
S
MACHADEMA tuacheni CCM tuko imara sana. Mmelikoroga wenyewe mlinywe. Mdee ana haki zake na sheria anazijua. Subirini awawashie moto.

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Zero alisema wanao ushahidi usio na shaka dhidi ya Mbowe. Mcheza sinema akasema Mbowe alitorokea Nairobi na wenzake waeshahukumiwa. Yaliyowakuta kina Kingai mbele ya Kibatala, Mutobesya, Mallya etc mliyashuhudia.
 
Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
334
500
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Wanatumia kile kinachoitwa Democracy au DEMON CRASIE. Demon CRASIE ni kuwa huru kuchagua chochote bila mipaka au kufuata Amri kumi za Mungu zilizojengwa ktk HAKI na Kweli na DHAMIRA.

Siasa zimeungamanishwa na DEMON CRASIE Ili kupinga amri na Sheria za Mungu. Yaani Ukisema UWONGO na Kutumia HILA ndo unaonekana Mwanasiasa MAHIRI. Zittow, COVID-19 ni mfano mzuri kat ya weng Kwa sasa.

Saa imefika na saa yaja ambapo anakuja MTAWALA atakae tawala Kwa HAKI na Kweli hapa hapa TANZANIA na atalipa kisasi Kwa waovu waliokandamiza HAKI za wananchi. AMEN.
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,715
2,000
Mbona Lissu alishaeleza yote hayo,ndiyo maana Mbowe amesema kuna kikao cha CCM na Chadema.
Utata hapo ni wakitimuliwa Halima Chadema itapeleka wabunge viti maalumu?
Wasipopeleka misaada inakoma.

Huu kweli mtihani. Kama ni hivyo, basi maridhiano LAZIMA yahusishe CCM/Serikali kukiri makosa ya 2020 na 2019, kuomba radhi, kisha kukubali kulipa fidia (damages) kwa vifo, majeruhi na athari zenye evidence walizopata CHADEMA kwenye chaguzi zile halafu waombe CHADEMA itoe ushirikiano wa kupeleka “viti maalum” bungeni kama mbadala wa “Covid 19”.

This is a tall order. Lakini inabidi namna hiyo ifanyike ama sivyo itakuwa tabu kwa CHADEMA kuwashawishi wanachama na mashabiki kubariki kutambua hizo chaguzi na kupeleka viti maalum mbadala bungeni. Itahisiwa kuwa Mbowe “kavuta mpunga” mrefu this time toka Makunduchi kama anavyotuhumiwa kufanya 2015.

Wapinzani wengine waliathirika pia. Budi nao wahusishwe kwenye maridhiano. Ndiyo legacy yenyewe hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
59,744
2,000
Kama CCM wataendelea kuwalinda hao wanawake 19 kinyume cha Katiba ya Chadema, na kinyume cha Katiba ya nchi...

Namshauri Mbowe atazame upya kama kuna umuhimu wowote kwake na chama chake kuendelea kukutana na Samia ikulu kwa vikao vya "maridhiano"

Kwangu haiwezekani mtu yule anayejinasibu kutaka maridhiano, mtu huyo kuendelea kukuchezea rafu za makusudi mbele ya macho yako, hii ni dharau, sio maridhiano.

Huyu ikibidi apewe conditions, kama akitaka maridhiano yaendelee sharti kwanza hao wanawake 19 waondolewe bungeni, kinyume na hapo hayo maridhiano feki bora yafe.
Vile vikao naona kama Mbowe anapigwa danadana tu.

CHADEMA wasipoweza angalau kuweza kufanya mikutano ya hadhara vile vikao vitakuwa bonge la comedy.
 
eliasmisinzo

JF-Expert Member
Aug 13, 2021
514
1,000
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
KESI YA MBOWE: Shahidi: Mheshimiwa Jaji naomba kwenda washroom!.....JAJI: Tuahirishe dakika 5.....JAJI: Shahidi umesharudi tuendelee....SHAHIDI: Mheshimiwa Jaji, tumbo linaniuma, sijisikii vizuri kwa leo.....WAKILI WA SERIKALI: Mheshimiwa Jaji, tunaomba shauri liahirishwe Shahidi akapate tiba, tuahirishe hadi Jumatatu...KIBATALA: Mheshimiwa Jaji, hatuna pingamizi, Jumatatu shahidi aje na vyeti vinavyothibitisha kuumwa kwake....Cooooouuuuuuurt!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Mcharo son

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
2,820
2,000
Kama Chadema inapeleka wabunge bungeni ili serikali ya CCM ipate misaada, wakati CCM waliwanyima Chadema haki yao ya kupeleka wawakilishi wao bungeni kwa ridhaa ya wananchi ambapo pia serikali ingepata hiyo misaada, huo kwangu ni ujinga uliopitiliza wa CCM, sio kosa la Chadema.
Kuna kitu kinaitwa maridhiano ili kuponya nchi, hasa ukizingatia mchafuzi keshaendazake, waliobaki wametaka muafaka, hakuna haja ya kutunisha misuri. Utakua mjinga ww unliebaki kutunisha misuri kwa nani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom