Ccm na ahadi wakati wa uchaguzi

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Igunga msidanganyike na ahadi za ccm Kama ni ahadi watekeleze za kikwete kwanzaHivyo vitu CCM wanaahidi havina haja ya kuahidiwa kila mara.

They are MUST things to be done by anyone in the post. Wapinzani wana-deal na reasons why they are not done yet. Hakuna haja ya kuahidi zahanati. Its a given fact that the governemnt should provide one.

Ufisadi, uzembe, undugu, ubinafsi na mambo kama hayo ndio unaleta shida. Wapinzani wapo sahihi kuyazungumzia hayo badala ya misururu ya ahadi. Kwani tangu Rostam alipoanza kuwaahidi kuna nini zaidi ya ahadi.
 
wawaulize wenzao wa busanda ule umeme walishafungiwa?
na mwisho wa kufika kiongozi wa ccm kule nio lini?
 
Back
Top Bottom