CCM na ACT- Tanzania wafanya tafrija ya pamoja Kigoma

Siasa siyo ugomvi kwahili nawatetea nipo upande wao mbona ofisini na mashuleni watu wanakaa pamoja hata mahotelini shida iko wapi.

Nakishukuru sana kuthibitisha mlifanya sherehe pamoja kujipongeza.Hongereni sana!
 
Mwl. Kaijage ni kama makapi ndani ya ACT maana anaweweseka na kutengwa jinsi chama chake kilipokwenda kula YAMINI na Ccm .

Huyu Mwl . Kaijage nina mashaka na shule pia anayofundisha pia kwa hoja zake nyepesi hivi darasani inakuwaje ?

Halafu kujitambulisha kuwa ni Mwl nadhani hoja yake ni kutaka kuwadhalilisha Walimu.
Anatokwa povu sana huyu Kaijage angekwenda jukwaa la Sayansi akajifunza kitu toka kwa Mwl RCT
 
Huyo hana ualimu wowote ni Multiple ID's tu mkuu wangu
 
Hivi ACT ndo kanisa lipo mkoa gani vile?

Nyinyi majungu na uzushi wao kazi tu, chadema chama kinachoongoza kwa uzushi, watanzania watakapoijua tabia yenu halisi itakuwa aibu.poleni wapika majungu. Act tanzania walikuwa na kikao cha halmashauri kuu wakati nyinyi mmejifungia kwenye kiwanda chenu cha uongo. Jengeni chama chenu waacheni act
 
Ushahidi wa mipango yao na CCM uko wazi sasa

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Picha hazidanganyi.
 
1406657502220.jpg
Hii Sherehe ilipigwa lini Wadau?
Kwa nini Kigoma?
Kuna urafiki gani mpaka CCM wakae Meza moja na ACT kwa jinsi ccm wasivyopenda wapinzani wao.
 
ACT ya Zitto ni matatizo makubwa na kwa hali hii Zitto aombe radhi kwa wanachama wa CHADEMA arudi kwa chama chake, kwa kazi wanayofanya ACT na CCM ni aibu sana jamani kweli CHADEMA Mungu ameweka alama na taji la ushindi juu yenu.
 
Tunaposema ACT ni CCM B tunamaanisha.. Tunaposema viongozi wa ACT ni vibaraka waliojivika joho la upinzani ilihali ni WAZANDIKI wa hali ya juu.

CCM iliwafanyia Tafrija Kigoma ya kuwapongeza kwa kile ilichodaiwa kuibomoa CHADEMA Kigoma!!

10574294_532871963507475_5879076659766449640_n.jpg

Hiki kijarida si cha yule mzee wa machame...!!!
 
Back
Top Bottom