Elections 2010 CCM Mwanza, Arusha kukutana kesho ghafla

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,220
370
Wana JF,

Napenda kuwapa habari zilizo jili mitamboni kwetu kuwa viongozi wa CCM katika wilaya hizi 3 Ilemela,Nyamagana na Arusha mjini.

Viongozi hawa watakuta katika majimbo yao na kujadilia na kujua kulikoni kupoteza majimbo muhimu sana ambayo ndio zilikuwa ngome za CCM.

1: Moja ya agenda kuu ni kuwa Kinana(Campaign Manager-CCM 2010) amesikitishwa sana na kuwepo kwa makundi mengi ndani ya CCM katika nchi nzima esp kule waliko poteza majimbo yao kongwe.

2:pili Kumtafuta Mchawi wao.

Nkajiuliza ulishaona wapi mchawi anamtafuta mchawi mwenzake teh teh teh inanisikitisha sana kuona viongozi wa ngazi ya juu CCM walishindwa kututatua matatizo hayo ambayo yalianza kwa UVCCM, Kura za Maoni ubunge ndani ya CCM,Kuruhu MAFISADI kukitawala chama kwa mabavu.
 
mchawi wao mbona anafahamika na kila mtanzania ni kikwete na makamba. hakuna wachawi zaidi ya hao. wanaendesha chama kiuswahiliswahili. uliona wapi waswahili wanafanya mambo ya maana!!
 
mchawi wao mbona anafahamika na kila mtanzania ni kikwete na makamba. hakuna wachawi zaidi ya hao. wanaendesha chama kiuswahiliswahili. uliona wapi waswahili wanafanya mambo ya maana!!

Yusuph Makamba You Must Gooooooooooooo
Makatibu wa CCM kwenye majimbo waliyopoteza They Must Gooooooooooooo
Wenyeviti wa UVCCM kwenye majombo yote CCM walipoteza They Must Gooooooooooo

 
Mchawi wao ni imani zao za kishirikina; chama hakiendeshwi kwa hirizi!!
 
wana jf,

napenda kuwapa habari zilizo jili mitamboni kwetu kuwa viongozi wa ccm katika wilaya hizi 3 ilemela,nyamagana na arusha mjini.

Viongozi hawa watakuta katika majimbo yao na kujadilia na kujua kulikoni kupoteza majimbo muhimu sana ambayo ndio zilikuwa ngome za ccm.

1: Moja ya agenda kuu ni kuwa kinana(campaign manager-ccm 2010) amesikitishwa sana na kuwepo kwa makundi mengi ndani ya ccm katika nchi nzima esp kule waliko poteza majimbo yao kongwe.

2:pili kumtafuta mchawi wao.

Nkajiuliza ulishaona wapi mchawi anamtafuta mchawi mwenzake teh teh teh inanisikitisha sana kuona viongozi wa ngazi ya juu ccm walishindwa kututatua matatizo hayo ambayo yalianza kwa uvccm, kura za maoni ubunge ndani ya ccm,kuruhu mafisadi kukitawala chama kwa mabavu.

mchawi wao ni mkwereeeeee na mke wake salmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
jamaani waacheni, wasije wakajua wakajirekebisha afu 2015 ikawa issue
 
kwani shekhe yahya kaacha uninihiiii......itakuwa ni yeye
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom