CCM must expel anti-Kikwete group

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,045
Finn's Facts : CCM must expel anti-Kikwete group

FINNIGAN WA SIMBEYE
DAR ES SALAAM

A GROUP of controversial filthy-rich ruling party members is unhappy with President Jakaya Kikwete's onslaught on high level graft.

The group which has since the Third Phase administration amassed wealth illegally using public office, sees President Kikwete who is also the ruling Chama Cha Mapinduzi national chairman as a danger to their customary style of living.

This group which boasts of having members within the rank and file of the ruling party, over the past decade used public offices to forge an evil empire which embezzled public funds, confided to business government secrets, especially that owned by foreigners, owned private companies which entered into dubious deals with the government and enacted a law to bribe voters in order to retain public office.

This group of thieving politicians who command a sizeable following in the bureaucracy is alleged to have started the campaign last year when CCM held elections for national executive committee members. The group's bid to stuff the party's NEC with their faithful, partially hit snag however, thanks to timely intervention by Prevention and Combating of Corruption Bureau.

Huge sums of money have so far allegedly been raised to bribe some of the party's impoverished members from grass-root to national level so that come 2010, this faction of thieving politicians will question the justification of having Mr Kikwete as CCM presidential aspirant automatically as has always been the tradition while the party's constitution does not say so.

The highly corrupt CCM faction which is so tiny even to convince a good part of the party's over 1,500 national congress delegates, believes that Kikwete is treading a dangerous lane by seeking to end high level graft.

This faction of super rich, highly controversial politicians strongly believe that having Kikwete through to 2015, may expose the party to possible defeat to the opposition which has made a strong showing in parliamentary debates in recent days.

The idea is to get rid of the president and national chairman whose courage and determination to cleanse the party as earlier stressed by the country's founder father, the late Mwalimu Julius Nyerere, is threatening their future political and private business careers.

In order to stop this malicious campaign which involves some sections of the corrupt private owned media by some of the owners, CCM's central committee and NEC must act tough to weed out such elements which are a danger not only to the party but also to the country as a whole.

It is obvious that what this faction of thieving politicians wants to do is maintain the status quo when State House and Parliament used to perform illegitimate business deals in the interest of individuals who were entrusted custody of such distinguished offices by the Tanzanian public.

This country's leadership hierarchy went rotten to the core when a sitting president and his energy minister started a company which took over vital public property such as Kiwira coal mines of Mbeya, while other senior leaders involve themselves in a mailbox company called Richmond Development Company.

President Kikwete and competent House Speaker Samuel Sitta have started a crusade or jihad which must stay its course and ensure that in 2010 the majority of thieving filthy rich politicians are removed from public office and given ample time to attend to their businesses.

We definitely need to separate private business and public office despite the courageous resistance from politicians with questionable character who have the abnormal courage to question and ridicule the authenticity of a Controller and Auditor General's report which clearly states public institutions like the Bank of Tanzania (BoT) are deliberately used to overpay hefty sums of money to private companies.
 
Finn's Facts : CCM must expel anti-Kikwete group
A GROUP of controversial filthy-rich ruling party members is unhappy with President Jakaya Kikwete’s onslaught on high level graft.

The highly corrupt CCM faction which is so tiny even to convince a good part of the party’s over 1,500 national congress delegates, believes that Kikwete is treading a dangerous lane by seeking to end high level graft.

This faction of super rich, highly controversial politicians strongly believe that having Kikwete through to 2015, may expose the party to possible defeat to the opposition which has made a strong showing in parliamentary debates in recent days.


Hapa ndipo tunapohitaji kuona kiwkwete atapelejae Mchezo mzima..!

Ni kweli Mafisadi kwa vyovyote vile watajibu mapigo na hapo ndipo uimara au udhaifu wa Kikwete utakapoonekana.

Lakini itabidi wanachi wajitolee sana kuwezesha taifa kurudi kwnye msitari ulionyoka!
 
Mawazo ya kuwatosa waliokinyume na JK ni mazuri ikiwa yeye ni msafi kiasi cha kuridhisha, pia anaweza kuiga mtindo wa Bingu wa Mutharika kama inawezekana.Kwa sababu kama hao jamaa walichangia kiasi kikubwa mafanikio yake basi ni kazi kwelikweli kwa sababu wako wengi.Kama anajiamini afumbe macho na kuwatosa mchana kweupe.
 
Hapa ndipo tunapohitaji kuona kiwkwete atapelejae Mchezo mzima..!

Ni kweli Mafisadi kwa vyovyote vile watajibu mapigo na hapo ndipo uimara au udhaifu wa Kikwete utakapoonekana.

Lakini itabidi wanachi wajitolee sana kuwezesha taifa kurudi kwnye msitari ulionyoka!

Kama wanajua ufisadi alioufanya katika kipindi chote alichokuwa ndani ya chama na serikali basi siyo muda mrefu tutaanza kusikia madhambi hayo, hapo ndio nchi itazidi kwenda alijojo.
 
Tusiogope nchi lazime ipitie maisha magumu ambayo ni ufanisi wa baadaye. Hata ktk maisha ya mtu binafsi hufika kipindi ambacho ni kigumu. Nchi kwa sasa lazima ipitie mapito hayo ya maamuzi magumu (wapo watakaoathirika ikiwa ni pamoja na kumwaga damu) lakini lazimu hayo yatakuwepo kwa faida ya baadaye kama miaka 100 ijayo.
 
Wote tukiwa na mtizamo huu,yaani mapito ni lazima kwa kitu mfumo wo wote ulio hai basi tutafanikiwa,wote walio karibu na JK mwambieni akaze buti na asonge mbele kama ameamua kuwatosa jamaa kwa faida ya siku za baadaye tuendako.Lakini pia ajiandae pia kumbuka TO EVERY ACTION THERE IS AN EQUAL AND OPPOSITE REACTION,jamaa wakiamua kumrudi basi aogelee tu kwa kuwa nguo ameshavua
 
hii anti kikwete group ni kina nani?

Nadhani watakuwemo akina Mkapa, Mramba na wengine wengi ambao nadhani wameshaamua kupambana na JK kwanza kwa kumtisha, kama hatishiki basi kuanika madhambi yake yote wanayoyajua.
 
Nadhani watakuwemo akina Mkapa, Mramba na wengine wengi ambao nadhani wameshaamua kupambana na JK kwanza kwa kumtisha, kama hatishiki basi kuanika madhambi yake yote wanayoyajua.

Kama Mkapa ameanza kumtisha Kikwete kwa chochote kile basi atakuwa anakosea sana. Mimi ninavyojua ni kuwa Kikwete ameamua kuachana na mambo ya Mkapa kama vile Mkapa alivyoamua kuachana na mambo ya Mwinyi na biashara zake haramu.

hii mechi naona ni ngumu kwa wote wawili na kama Kikwete akiamua kufanya the right thing na kudeal na kina Mkapa bila kujali kile kitachotokea (nchi kulipuka kama loser mmoja huko ccm alivyosema) basi wananchi wote waatakuwa nyuma yake na kina Mkapa watachemsha.

Kwa hili bado nasubiria kumwona Kikwete in action na nimpe kila aina ya support hapa JF.
 
Hawa watu wanajaribu ku-spin kwa watu wanaoweza kushawishika kirahisi lakini mimi hawanipati.

Wanamuelezea Kikwete kama mtu mwenye nia ya kupigana na ufisadi lakini anayekumbana na upinzani mkubwa katika CCM. La hasha.

Kikwete na yeye ni fisadi mkubwa, tunasubiri amshitaki Mkapa (kama atafanya hivyo, moja ya sababu ya kusema "mwacheni apumzike" ni kwamba Kikwete mwenyewe anaogopa mustakabali wake) na yeye akimaliza urais ashitakiwe.

Kikwete hana nia ya kupiga vita ufisadi, chochote anachokifanya anakifanya kwa sababu hana uchaguzi, it was either kumfukuza Chenge au kumkumbatia na yeye aonekane fisadi, ditto to Lowassa.

Kwa hiyo hata usijaribu kutuuzia Kiwete kama mtu safi, Kiwete ana ajizi, hana heshima, hana umakini, ni mzembe, ana uroho, hajali watu, ana vurugu, hana kina, ni mpumbavu, hajifunzi, anaelea katika ulimwengu wa kusadikika, hana mwongozo, mchelewaji wa kudumu, anataka ukubwa bila kujua kazi, anapenda safari, hana sera, hana huruma, mwoga, hana busara, hafai, hatumii mamlaka, hatumi, hatumii vipaji vya watu, anataka sifa bila kazi, anatia aibu, anajisikia, analimbuka, ganga ongo, genda eka, kinyamkera..... I could go on and on and never finish all his wonderful qualituies!
 
Kwa hiyo hata usijaribu kutuuzia Kiwete kama mtu safi, Kiwete ana ajizi, hana heshima, hana umakini, ni mzembe, ana uroho, hajali watu, ana vurugu, hana kina, ni mpumbavu, hajifunzi, anaelea katika ulimwengu wa kusadikika, hana mwongozo, mchelewaji wa kudumu, anataka ukubwa bila kujua kazi, anapenda safari, hana sera, hana huruma, mwoga, hana busara, hafai, hatumii mamlaka, hatumi, hatumii vipaji vya watu, anataka sifa bila kazi, anatia aibu, anajisikia, analimbuka, ganga ongo, genda eka, kinyamkera..... I could go on and on and never finish all his wonderful qualituies!

Pundit: naona umeamua kweli! Hata basi hujaribu kumstiri mtu mzima mwenzako?
Lakini nakuunga mkono, huu ni ujinga kujaribu kumtenganisha Mkapa na Kikwete! Kikwete alikuwa waziri wa Mkapa just like Lowasaa, ufisadi ulipoendelea walikuwepo na wengine walifaidika kama akina Mramba. Sasa Kikwete alikuwa hajui kama Lowassa, besti wake ni fisadi? Alikuwa hajui kwamba Mramba ni fisadi? Na hao wengine akina Rostam, si aliwaleta yeye? Alikuwa hajui historia yao?
NO! We are not buying that. Kama vipi asingewateua, tena Chenge alimrudisha after reshuffle, kwa hiyo hatutaki longolongo. Kilichobaki ni yeye kutuonyesha anaiweza hii nchi. Lakini tunachoona ni kutwa anasafiri na kutuacha yatima. Propaganda kama hizi ni za miaka ya 60 na 70 siyo katika dunia ya leo ya utandawazi, watanzania tumefunguka macho!
 
Unajua kikwete kapagawa, msisahau hawa mafisadi ndiyo waliomsaidia kupata nafasi hiyo, anajaribu kuwalia timing ila na wao wako makini kwelikweli.
 
Inabidi tuwe makini sana na habari za CCM maana watatumia njia zote kuakikisha kuwa hakuna habari zozote zinazomhusisha JK na mafisadi walikwisha tambuliwa, sisi yetu masikio watasemana wenyewe tu.
 
Hapa ndipo tunapohitaji kuona kiwkwete atapelejae Mchezo mzima..!

Ni kweli Mafisadi kwa vyovyote vile watajibu mapigo na hapo ndipo uimara au udhaifu wa Kikwete utakapoonekana.

Lakini itabidi wanachi wajitolee sana kuwezesha taifa kurudi kwnye msitari ulionyoka!

Ahhh! Mzazi mbona mziki umeshaanza. Kila hoja zina baraka zake ndio maana watu hawana uoga.
 
Back
Top Bottom