CCM Mungu awabariki kwa kuijali nchi hii

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Ndugu wanabord napenda kuchukua nafasi hii Kama siyo fursa hii kukipongeza chama cha mapinduzi kwa Kazi kubwa ya kuijenga nchii hii tangu kitukombowe kutoka kwenye mikono ya wanyang'anyi wakoloni ambao waliongoza nchi hii kwa kuwanyanyasa babu zetu na Bibi zetu

Lakini mwenyenzi Mungu alimtuma mtumishi wake Tanu na sasa ccm kuwakomboa watanzania toka utumwani ccm imefanya Mengi na bado inaendelea kufanya mojawapo ya mafanikio makubwa ni kufuta ujinga mkoloni kwa miaka 75 aliyotutawala mjerumani na mwingereza alishindwa kabisa kulikomboa taiga kutoka kwenye shida na taabu ambazo zilitusonga Barbara elimu afya nk

ccm ibarikiwe Leo kesho na kesho kutwa rekebisheni matatizo madogo madogo mnayolalamikiwa

Pia ingeni wabunge Wa ccm kwakwenda kututungia katiba mpya baada ya kuona hii 1977 inahitaji maboresho Kazi mzuri sana hawa vijana wanaotumiwa na wakoloni kutaka kuwarudisha nyuma achaneni nap kabisaaa wala msiwasikilize katiba ya wananchi itatengenezwa na ccm katiba ya wapinzani watatengenezwa katiba ya wakoloni kwani wao wakoloni wanatuonea wivu wanataka kurudi mlango Wa kurudia ni lazima wawatumie wapinzani wetu tuu
 
Hebu tueleze Babu yako na bibi zako alinyanyaswa kivipi ? Na hao wakoloni hapa Tanganyika ? Na maendeleo yepi aliyoyaleta huyo Mtawala mweusi CCM ambayo hayakuwepo hapo kale ? Shida ya madawa ,shiada ya vitanda mahospitalini ,shida ya madawati mashuleni na hata shida ya maji mitaani ni yepi kati ya haya ?
 
Shule zako umesomea wapi Mkya? Unaandika kama mtoto wa darasa la awali.Shame!
 
Last edited by a moderator:
Miaka 50 ya utuma chini ya mtawala huyo ndiyo unayoipongeza? umepewa ahadi ya kuwa mnyapara wa kuwachapa viboko wenzako kwa mshahara wa kanga, kofia na shati la kijani? Endelea kutoa pongezi nadhani wamekusikia.
 
We bawacha acha kejeli kwa watu kwani wewe unanini kichwani mwako mnaishi kwa fadhila umeshindwa hata kuwa na kipato cha kukupatia chakula na sehemu ya kulala unadaka kama kinda la ndege pole sana.
 
Mkuu Mkya tunashukuru kwa bandiko lako! Hakika CCM ndio nguzo ya Tanzania, hizi changamoto ndogondogo zinazojitokeza hapa na pale haziwezi kuhalalisha kuwa CCM haifai kuendelea kuwaongoza watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Ccm inabidi wapongezwe wamejitahidi sana kwa kuwatumikia watanzania mpaka hapa tulipofika.
 
Kabisa kabisa ccm imethubutu,imeweza na sasa inasonga mbele.
 
Watu wengine wanapenda kweli kujitoa ufahamu! Dah!!
 
mtoa post unabakw.a ccm wanatufanya tuishi maisha magumu alafu we unaleta pumba zako hapa naichukia ccm zaidi ya ukoma.shame on you
 
Hebu tueleze Babu yako na bibi zako alinyanyaswa kivipi ? Na hao wakoloni hapa Tanganyika ? Na maendeleo yepi aliyoyaleta huyo Mtawala mweusi CCM ambayo hayakuwepo hapo kale ? Shida ya madawa ,shiada ya vitanda mahospitalini ,shida ya madawati mashuleni na hata shida ya maji mitaani ni yepi kati ya haya ?

Waliuzwa utumwani pia shule Kama vile hazikuwepo hospital hazikuwepo kabisa. Barabara hazikuwepo kabisa ccm ibarikiwetu
 
Mkuu mkya usiogope madongo kazi ya wapinzan n kupinga hata ya maana,tuko pamoja mkuu
 
We bawacha acha kejeli kwa watu kwani wewe unanini kichwani mwako mnaishi kwa fadhila umeshindwa hata kuwa na kipato cha kukupatia chakula na sehemu ya kulala unadaka kama kinda la ndege pole sana.

Dada nakuheshimu sana. Tafuta taarifa zinazonihusu halafu urudi tena hapa. Huniwezi hata kwa moja kilaza mkubwa wewe!
 
Miaka 50 ya utuma chini ya mtawala huyo ndiyo unayoipongeza? umepewa ahadi ya kuwa mnyapara wa kuwachapa viboko wenzako kwa mshahara wa kanga, kofia na shati la kijani? Endelea kutoa pongezi nadhani wamekusikia.

Nipe faida tatu za miaka 75 za mtawala mweupe mzungu
 
Mkuu Mkya tunashukuru kwa bandiko lako! Hakika CCM ndio nguzo ya Tanzania, hizi changamoto ndogondogo zinazojitokeza hapa na pale haziwezi kuhalalisha kuwa CCM haifai kuendelea kuwaongoza watanzania.

Nikweli kabisa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ccm inabidi wapongezwe wamejitahidi sana kwa kuwatumikia watanzania mpaka hapa tulipofika.

Mtajitahidi sana kuisafisha CCM lakini hamtaweza.CCM imejikaanga kwa mafuta yake yenyewe CCM imejigeuza kuwa ya kutumikiwa badala ya kuwatumikia wananchi.Kama vile ambavyo wananchi wametoa maoni yao kwenye rasimu ya katiba ili wapate katiba yao lakini CCM imeyakataa maoni ya wananchi na kuweka maoni yake ili iwatengenezee katiba ya ki CCM,CCM.Wananchi wamejenga shule,viwanja n.k vyote hivyo vimeporwa na CCM kwa kupitia mgongo wa jumuiya zake halafu mnadanganya kuwa CCM inawatumikia wananchi,inawatumikia wananchi au inawapora?.
 
Hapa tuna jadili mafanikio ya ccm miaka 50 na mafanikio ya mkoloni miaka 75 yupi kaisaidia Tanzania
 
Back
Top Bottom