CCM mumeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli?

Hivi ndio TV za nchi jirani zinavyo m-describe Mzee Baba, kama mtu MKAIDI.

Je, mkaidi ni mtu wa aina gani? Huyo kwa kiingereza ni Stubborn na huwa hafai kwenye jamii kwani aweza kuleta madhara makubwa.

Kwa vile hayo yamesemwa sana hapa ndani na wapinzani wake na kitengo cha propaganda cha CCM kulivalia njuga jambo hili, ni wakati sasa Polepole na timu yake kupambana na majirani zetu wanaomwita Mzee Mkaidi kwa nguvu ileile wanayoitumia humu ndani.

Ila jambo moja la kujiuliza ni kuwa kwa nini kila mtu na akili zake anapata picha kuwa Mzee ni Mkaidi?

View attachment 1396496

Sent using Jamii Forums mobile app
Rambling speech.
 
Mbona Kenyatta mlevi sisi hatumsemisemi? Kwahivi wanataka angewaambia wananchi wajifungie ndani? Ili wale nini?

Msimu wa kilimo ndio huu watu wajifungie hata shamba wasiende? Wanataka tuteseke njaa kama ile inayowatesaga wao?

Kenya wana wasiwasi na spidi tuliyonayo tutawapiku kimaendeleo na siku hizi hatuwakuzii uchumi wao kiboya, hawapati cha kazi huku wala bidhaa zao kuingia kimagendo ndo mana hawamfurahii rais wetu.

Wapambane na korona kivyao nasisi kivyetu.
NI hawa hawa Kenya waliopakuwa ndege ya Wachina bila hata kuwafanyia screening. Leo wanataka waiongoze TZ kutokea TV. That is Rubbish!
 
Hivi ndio TV za nchi jirani zinavyo m-describe Mzee Baba, kama mtu MKAIDI.

Je, mkaidi ni mtu wa aina gani? Huyo kwa kiingereza ni Stubborn na huwa hafai kwenye jamii kwani aweza kuleta madhara makubwa.

Kwa vile hayo yamesemwa sana hapa ndani na wapinzani wake na kitengo cha propaganda cha CCM kulivalia njuga jambo hili, ni wakati sasa Polepole na timu yake kupambana na majirani zetu wanaomwita Mzee Mkaidi kwa nguvu ileile wanayoitumia humu ndani.

Ila jambo moja la kujiuliza ni kuwa kwa nini kila mtu na akili zake anapata picha kuwa Mzee ni Mkaidi?

View attachment 1396496

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi haoni huko Spain na Italy kilichotokea? A such mizaha that now causing a chaos!!
Mzee asione now hakuna tatizo but maammbukizi yakizidi Facilities zitazidiwa na ku-fail completely na hapo tatizo ndipo linaanzia kama ambavyo huko kwa wenzetu wenye kila aina ya technology wameshindwa ku-mitigate hili tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Kenyatta mlevi sisi hatumsemisemi? Kwahivi wanataka angewaambia wananchi wajifungie ndani? Ili wale nini?

Msimu wa kilimo ndio huu watu wajifungie hata shamba wasiende? Wanataka tuteseke njaa kama ile inayowatesaga wao?

Kenya wana wasiwasi na spidi tuliyonayo tutawapiku kimaendeleo na siku hizi hatuwakuzii uchumi wao kiboya, hawapati cha kazi huku wala bidhaa zao kuingia kimagendo ndo mana hawamfurahii rais wetu.

Wapambane na korona kivyao nasisi kivyetu.

Bora huyo mlevi wa POMBE kuliko huyo mlevi wa madaraka na ushamba juu
 
President Magufuli is a very good joker...!If at all churches and mosques are the places of HEALING...there would have NO deaths caused by any kind of a disease!! But the're people including ministers/sheikh's happened to die inside the churches and mosques while worshipping.....!!!Where was/is that healing?

Is President Magufuli trying to send a message to the whole world including China(Wuhan) and Italy(Rome,Vatican etc), USA and others that God is not in those countries??

Hahaahaa.... Ngoja tumforwardie polepole hili swali.
 
Kuna upuuzi unataka kuletwa duniani and Magufuli is well aware with that.
Time will tell and numbers dont lie.Baada ya miezi miwili mje humu mtuambie whether he was right or wrong,ila mimi niko nae kwenye hili.He is right.Dunia imelikuza janga hili for reasons unknown to many.Hivi mlitaka awaambie mjifiche uvunguni?trend ya corona kwa Africa ikoje?watu wangapi wamekufa Africa?wangapi wapo seriously ill?tangu lini imeingia?Open up your eyes my fellow africans!Hili janga la Ulaya huko,wao wana janga moja tu corona,huku tuna mambo mazito zaidi ya hili,lazima akili yetu igawanyike vizuri,ukiibana sehemu moja yale mengine makubwa zaidi yatatumaliza.Ndivyo nilivyomuelewa jana.Corona ni hofu Italia,ila si lazima iwe hofu Tanzania.Mafua ya kawaida tu ni hofu Ulaya,vipi wewe na mie pua bapa,ushawahi kupoteza ndugu yoyote kwa flu?!hebu fungueni mioyo hiyo.
Dah...
Mungu samehe viumbe hawa...

Eti janga hili limekuzwa.
!??
 
Mbona Kenyatta mlevi sisi hatumsemisemi? Kwahivi wanataka angewaambia wananchi wajifungie ndani? Ili wale nini?

Msimu wa kilimo ndio huu watu wajifungie hata shamba wasiende? Wanataka tuteseke njaa kama ile inayowatesaga wao?

Kenya wana wasiwasi na spidi tuliyonayo tutawapiku kimaendeleo na siku hizi hatuwakuzii uchumi wao kiboya, hawapati cha kazi huku wala bidhaa zao kuingia kimagendo ndo mana hawamfurahii rais wetu.

Wapambane na korona kivyao nasisi kivyetu.
Hahahah utakuwa mwanachama wa ccm, siyo kwa akili hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kituo cha Televisheni cha Citizen Kenya kimetumia lugha sahihi ya kiSwahili ktk ku-summarize kichwa cha habari juu ya coronavirus.
 
Sijaona Cha ajabu au ukaidi katika kauli ya JPM....nyie mnafanya interpretation kwa Nia mbaya...we have to work...kwani huko Marekani, China, Italy, Spain, Germany na kadhalika wamesimama kufanya kazi?!?! Mijitu mingine ya Tanzania hovyo kabisa...na hata hao watangazaji hawampondi JPM Kama mleta Uzi anavyotaka tuamini...
Utakonda bure kwa kutetea mtu MKAIDI asiyesikia la mtu.
Huyo anatambulika hivyo ukanda huu wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa

Anayofanya JPM yanahitaji IQ kubwa kuyaelewa.
Inategemea sana level ya IQ yako. Wenye akili nyingi sana kama Dr Slaa walimuelewa kabla hata hajawa RAIS, wakafuatiwa na wenye IQ za kawaida (Lowasa) baadaye Sumaye, Dr Mashinji Na wale mlio wazito kabisa itachukua muda lakini mwisho wote mtagraduate tu!
HAPA KAZI TU!
Ha haha, IQ kubwa huwa inaanza na unavyoweza kuyapangilia maisha yako binafsi na familia yako.
Nenda kawaambie watoto wa Slaa kuwa baba yenu ana IQ kubwa kama hawajakutwanga makofi!
IQ kubwa wakati anapepetwa makofi na gumegume la kihaya? Chadema kama chama ndio kilimpandisha chati Slaa ndio maana sasa hivi hakuna lolote la ajabu kesha fanya katika ubalozi wake kufikia kumsifia eti IQ iko juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...
Mungu samehe viumbe hawa...

Eti janga hili limekuzwa.
!??
Lina mda gani hili tangu liingie Africa?rate yake ya maambukizi ikoje?Waafrica wangapi wameambukizwa?katika hao,wangapi wana hali tete?na katika hao wangapi wamekufa?huko Ulaya na Marekani,kuna waafrika wangapi wamekufa?fanyia research hilo kabla hujaniombea msamaha.Mimi namuomba Mungu akufungue akili zako.Kwa Africa,Corona ni janga baya zaidi "kiuchumi" kuliko kibaiolojia.Kuanzia mwanzo tunapaswa kujua hilo na kujihadhari na hatua tunazochukua.Ni janga lililokuzwa kimipaka.
 
Hahaha Wakenya bana wenyewe rais wao Mlevi na Makamu Mwizi, in Raila sounds.....Dreva Mlevi na konda Mwizi
 
Mimi naamini kuwa Mh Rais hawezi kutoa maelekezo na maagizo kama aliyoyatoa bila kupata ushauri wa wataalamu, hivyo kama kuna kosa lolote wa kulaumiwa ni Washauri wake wa-kitaalamu, Ikumbukwe, Rais ni Taasisi na siyo mtu mmoja kwa hiyo kumlaumu ni kosa kabisa.

Lakini pia huu si wakati wa kuona nchi ya jirani wakimdharau na kumkejeli Rais wetu na kufurahia. Hii ni sawa na kumsikia au kumuona jirani anamdhalilisha na kumfedhehesha mzazi wako nawe ukafurahia tena na kujiunga nao. Ni wakati wa kuwa kama familia moja kukemea hili hata kama ndani tuna tofauti zetu haiwezekani Rais wetu kama mzazi akakejeliwa halafu tukafurahia, #HAPANAhaikubaliki

Naanza kupata picha mbaya sasa, huenda wapo Watanzania kwa hali hii ya kufurahi mambo haya, iko siku watu watasikia kuwa jirani kapanga jambo baya kuhusu Nchi yetu kama VITA n.k halafu wakafurahia na kuungana nao bila kujua sisi ndio tutakaoathirika, hebu tubadilike kama Haumheshimu Magufuli, basi Mheshimu Rais maana yuko pale kisheria na kuna taratibu za kufuata ili kupata kiongozi mwingine nayo ni kupiga kura au ni lile la kuvunja Katiba na imeelezwa taratibu za kufuata ili kumwondoa Rais madarakani.

Walichokifanya jirani zetu ni kitendo cha aibu na kinapaswa kukemewa na kila Mtanzania hata na mataifa mengine cha kuingilia uhuru wa Taifa lingine..

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaweza kuhisi kwa nini post yako umeiandika na watu wanaipita tuu?
Jee kama urais ni taasisi una uhakika huyo Rais anapokea ushauri anaopewa?
Kwa nini mada imeelekezwa kwa ccm kuwa waone jirani wanavyo msema kiongozi wetu? Ni kwa kuwa akisemwa hapa ndani majibu yao ni kejeli na dharau sasa inabidi waonyeshwe na jirani anasemaje.
Kuhusu huo uzalendo, utakuwepo namna gani wakati wapinzani wa ccm mnawa treat kama wanyama? Matendo wanayofanyiwa viongozi wa upinzani unadhani kuna mtu anaweza kuiunga mkono serikali hii (sio nchi) katika lolote hata kama ni sabotage kutoka nje?
Haiwezekani, na hiyo mifano ya eti sisi sijui ndio tunaathirika asipo heshimika mbona watu wanaathirika kwa vijana wake kutuma kuvunja mikono hata viongozi wa upinzani wanawake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha haha, IQ kubwa huwa inaanza na unavyoweza kuyapangilia maisha yako binafsi na familia yako.
Nenda kawaambie watoto wa Slaa kuwa baba yenu ana IQ kubwa kama hawajakutwanga makofi!
IQ kubwa wakati anapepetwa makofi na gumegume la kihaya? Chadema kama chama ndio kilimpandisha chati Slaa ndio maana sasa hivi hakuna lolote la ajabu kesha fanya katika ubalozi wake kufikia kumsifia eti IQ iko juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!...halafu tutegemee akili za aina hiyo ndo zimuelewe JPM.
Hivi unajua watoto wa Dr wapo wapi kamanda?
Hivi unajua waliko. Umewahi hata kuwaona?
...Kwa kuwa na ninyi ni viumbe mlioumbwa na Mola inabidi tuwavumilie tu.
Mola mwenyewe ndo anaejua kwa nini aliwaumba na kuwanyima akili.
We ca not question him? labda ndo ninyi mlioletwa kuijaza dunia tu!
FULL STOP.
 
Sikiliza bwana Mzalendo2015....hakuna anayetaka kukunyamazisha humu jf...ila Kama unakosea ni lazima uambiwe..kukosoa kunaruhusiwa lakini siyo kutukana...ni kweli Nyerere aliruhusu kukosoa lakini siyo kutukana...hivi unadhani enzi za Nyerere ungeweza kumwambia Nyerere maneno mnayomwambia JPM? No way .,ungefanya hivyo ungeshughulikiwa kwa kupelekwa Tunduru au kigoma...Nyerere alikuwa disciplinarian siyo mchezo...halafu acheni ujuaji....multipartism Haina maana ya anarchy..ni lazima mfuate taratibu, kanuni na sheria zilizopo...hi ni nchi ya watu wote...nanyi pia mnapaswa kuheshimu wenzenu wenye mawazo tofauti..heshimuni katiba...na msidhani wote wanaopingana na nyie eti ni CCM...
 
Back
Top Bottom