CCM mumeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli?

Hivi ndio TV za nchi jirani zinavyo m-describe Mzee Baba, kama mtu MKAIDI.

Je, mkaidi ni mtu wa aina gani? Huyo kwa kiingereza ni Stubborn na huwa hafai kwenye jamii kwani aweza kuleta madhara makubwa.

Kwa vile hayo yamesemwa sana hapa ndani na wapinzani wake na kitengo cha propaganda cha CCM kulivalia njuga jambo hili, ni wakati sasa Polepole na timu yake kupambana na majirani zetu wanaomwita Mzee Mkaidi kwa nguvu ileile wanayoitumia humu ndani.

Ila jambo moja la kujiuliza ni kuwa kwa nini kila mtu na akili zake anapata picha kuwa Mzee ni Mkaidi?

View attachment 1396496

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Rais Magufuli ni Rais wa CCM au ni Rais wa Watanzania wote?
 
Mkenya akitafsiri neno la kiswahili tulia kwanza ulichambue
Huyo kamaanisha magufuli yupo ngangari dhidi ya corona
 
Mbona Kenyatta mlevi sisi hatumsemisemi? Kwahivi wanataka angewaambia wananchi wajifungie ndani? Ili wale nini?

Msimu wa kilimo ndio huu watu wajifungie hata shamba wasiende? Wanataka tuteseke njaa kama ile inayowatesaga wao?

Kenya wana wasiwasi na spidi tuliyonayo tutawapiku kimaendeleo na siku hizi hatuwakuzii uchumi wao kiboya, hawapati cha kazi huku wala bidhaa zao kuingia kimagendo ndo mana hawamfurahii rais wetu.

Wapambane na korona kivyao nasisi kivyetu.
Rwanda hadi maduka yamefungwa,je wao wanashushiwa Mana toka Mbinguni?
 
Nanukuu maelezo ya kiongozi mmoja wajuaji wengi wa CORONA wanapatikana Dar ...washauri wa kitaalam wengi wanapatikana Dar...watu wenye exposure na pesa wanapatikana Dar... mwisho wa kunukuu sasa isiwe shidah mzee kaisha hama jiji na wewe ludi kijijini kwenu ukapambane na CORONA
 
President Magufuli is a very good joker...!If at all churches and mosques are the places of HEALING...there would have NO deaths caused by any kind of a disease!! But the're people including ministers/sheikh's happened to die inside the churches and mosques while worshipping.....!!!Where was/is that healing?

Is President Magufuli trying to send a message to the whole world including China(Wuhan) and Italy(Rome,Vatican etc), USA and others that God is not in those countries??
******** is like thinking like that for sure
 
Sijaona Cha ajabu au ukaidi katika kauli ya JPM....nyie mnafanya interpretation kwa Nia mbaya...we have to work...kwani huko Marekani, China, Italy, Spain, Germany na kadhalika wamesimama kufanya kazi?!?! Mijitu mingine ya Tanzania hovyo kabisa...na hata hao watangazaji hawampondi JPM Kama mleta Uzi anavyotaka tuamini...
Uhuru
Kabisa mkuu! Uko sahihi. Kiswahili cha Wakenya ni kibovu.

Utasikia anasema "Usibaki bikibiki kwa faranda" Yaani usipaki pikipiki kwenye varanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Au utasikia bwana wake wa bibi yake ina maana mume wake au mke wake

Je huku kwetu ukisema bibi au bwana yake tunamaanisha nini 🤣
 
Kagame is Very intelligent, Huwezi kulinganisha akili ya Kagame na Huyu
Kwani Kagame ni nani hapa kwetu? Tanzania ni nchi kubwa msifanye ulinganifu kati viongozi wetu na nchi nyingine, if you aren't a Tanzanian you better keep your mouth shut...

Na kama wewe ni mtz, ni vema ukatoa maoni yako kistaarabu, watanzania ni watu wa staha.

Na Rais ndio amri jeshi wetu mkuu, so unaposema chochote against him, inatukera sisi tunaoipenda nchi yetu.

Kuwa mstaarabu mkuu. Heshimu mamlaka.

Mtingi1.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom