hawawezi kukuelewa, mwenge umewapofusha, wanangoja mapigo kama zama za pharaohNi hayo tuu hii ni tahadhari tu .wenyewe uelewa mpana sana na tafakari ya kutosha watanielewa ila wale wenye matatizo ya uelewa lazima wataanza kuuliza uliza maswali.
Si kila anayeitaja CCM ni mpinzani.. Huu ubishi na "kukariri" kwenu hakumsaidii mwenyekiti wenu.kama ccm ipo hivi nyie upinzani mpoje?mnajitofautisha vipi na chama tawala??
nimetoa swali kwa wapinzani sijamaanisha kuwa mtoa mada ni upinzani,hili ni jukwaa kuna watu tofauti na wahusika wa hili swali watajua jinsi ya kulijibu,kama si lako acha...Si kila anayeitaja CCM ni mpinzani.. Huu ubishi na "kukariri" kwenu hakumsaidii mwenyekiti wenu.
Basi Samahi boss.nimetoa swali kwa wapinzani sijamaanisha kuwa mtoa mada ni upinzani,hili ni jukwaa kuna watu tofauti na wahusika wa hili swali watajua jinsi ya kulijibu,kama si lako acha...
nimetoa swali kwa wapinzani sijamaanisha kuwa mtoa mada ni upinzani,hili ni jukwaa kuna watu tofauti na wahusika wa hili swali watajua jinsi ya kulijibu,kama si lako acha...
kwa Sera mzuri ambazo ccm wamecopykama ccm ipo hivi nyie upinzani mpoje?mnajitofautisha vipi na chama tawala??
Acha mataptap..Umoja upi baada ya kumwita mgombea wao Mwamba wa Kaskazini!!kwa Sera mzuri ambazo ccm wamecopy
wapinzani wanahubiri mshikamano,upendo, udugu, umoja wa kitaifa
wapinzani wana tetea demokrasia ya kweli Uhuru wa kujieleza
wapinzani wanapigania utawala wa
sheria na haki za binadamu
kama hayo wewe huyaoni basi unatatizo kichwani