CCM mtakuja kushtuka mkiwa mmesha chelewa,endeleeni kuwa wapiga makofi na washangiliaji wakuu

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,463
2,000
Ni hayo tu hii ni tahadhari .wenye uelewa mpana sana na tafakari ya kutosha watanielewa ila wale wenye matatizo ya uelewa lazima wataanza kuuliza uliza maswali.
 

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,392
2,000
Ni hayo tuu hii ni tahadhari tu .wenyewe uelewa mpana sana na tafakari ya kutosha watanielewa ila wale wenye matatizo ya uelewa lazima wataanza kuuliza uliza maswali.
hawawezi kukuelewa, mwenge umewapofusha, wanangoja mapigo kama zama za pharaoh
 

Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987
2,000
Si kila anayeitaja CCM ni mpinzani.. Huu ubishi na "kukariri" kwenu hakumsaidii mwenyekiti wenu.
nimetoa swali kwa wapinzani sijamaanisha kuwa mtoa mada ni upinzani,hili ni jukwaa kuna watu tofauti na wahusika wa hili swali watajua jinsi ya kulijibu,kama si lako acha...
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,316
2,000
nimetoa swali kwa wapinzani sijamaanisha kuwa mtoa mada ni upinzani,hili ni jukwaa kuna watu tofauti na wahusika wa hili swali watajua jinsi ya kulijibu,kama si lako acha...

Anzisha uzi wako kuhusu wapinzani acha kuharishia post za wengine.
 

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,392
2,000
kama ccm ipo hivi nyie upinzani mpoje?mnajitofautisha vipi na chama tawala??
kwa Sera mzuri ambazo ccm wamecopy

wapinzani wanahubiri mshikamano,upendo, udugu, umoja wa kitaifa

wapinzani wana tetea demokrasia ya kweli Uhuru wa kujieleza

wapinzani wanapigania utawala wa
sheria na haki za binadamu

kama hayo wewe huyaoni basi unatatizo kichwani
 

crocodile

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,006
2,000
kwa Sera mzuri ambazo ccm wamecopy

wapinzani wanahubiri mshikamano,upendo, udugu, umoja wa kitaifa

wapinzani wana tetea demokrasia ya kweli Uhuru wa kujieleza

wapinzani wanapigania utawala wa
sheria na haki za binadamu

kama hayo wewe huyaoni basi unatatizo kichwani
Acha mataptap..Umoja upi baada ya kumwita mgombea wao Mwamba wa Kaskazini!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom