CCM msitake kuturudisha enzi za mfumo wa chama kimoja

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
Ukikatiza katika viunga vya mji wa Dodoma huwezi amini hii Dodoma iko Tanzania nchi ambayo watu wake wameambiwa siasa mpaka 2020 na sasa watu wafanye kazi na kufanya siasa ni kwa kuzingatia mashariti mapya ambayo sidhani hata kama yako katika katiba na sheria za nchi hii.

Nayasema haya kwasabu tangu CCM wamalize mkutano wao huko Dodoma Jumapili iliyopita,bendera za CCM zinapepea katika viunga vya mji huu utazani tuko kwenye kampeni wakati tumeambiwa siasa mpaka 2020. Mlioko hapa Dodoma mtakuwa mashahidi wa hiki nachokisema.

Viongozi wa serikali mko hapa Dodoma na yote haya mnayaona ila mko kimya tu na wala hamchukui hatua kuhakikisha bendera hizo zinaondolewa mitaani.

Hivi vyama vingine vikiamua visimamishe bendera zao kwa wingi kama mnavyofanya nyie mtakuwa teyari? Bendera za vyama vya upinzani zikipepea katika mji huu hakuna watu watafukuzwa kazi au kupewa karipio?

Mmejiuliza mnapeleka ujumbe gani kwa wananchi waliosikia matamko yenu kuhusu kufanya siasa?Hamuoni wanazidi kupoteza imani na nyie?

Niwambie tu tumeshatoka katika mfumo wa chama kimoja na mkitaka kuturudisha enzi hizo tambueni mtazalisha kina Mange Kimambi kwa mamia kama sio maelefu.l
 
Kwa kweli hata mimi jana nilikuwa Dodoma na bendera za ccm ni lundo. Nafikiri bado wako kwenye campaign fulani; hadi kero. Utafikiri ni nchi ya chama kimoja!
 
Wacha watanzania waendelee kumjua vizuri mh.fulani maama ukimsikiliza unaweza sema ni mtu anamanisha anachosema kumbe wapi.
 
Ukikatiza katika viunga vya mji wa Dodoma huwezi amini hii Dodoma iko Tanzania nchi ambayo watu wake wameambiwa siasa mpaka 2020 na sasa watu wafanye kazi na kufanya siasa ni kwa kuzingatia mashariti mapya ambayo sidhani hata kama yako katika katiba na sheria za nchi hii.

Nayasema haya kwasabu tangu CCM wamalize mkutano wao huko Dodoma Jumapili iliyopita,bendera za CCM zinapepea katika viunga vya mji huu utazani tuko kwenye kampeni wakati tumeambiwa siasa mpaka 2020. Mlioko hapa Dodoma mtakuwa mashahidi wa hiki nachokisema.

Viongozi wa serikali mko hapa Dodoma na yote haya mnayaona ila mko kimya tu na wala hamchukui hatua kuhakikisha bendera hizo zinaondolewa mitaani.

Hivi vyama vingine vikiamua visimamishe bendera zao kwa wingi kama mnavyofanya nyie mtakuwa teyari? Bendera za vyama vya upinzani zikipepea katika mji huu hakuna watu watafukuzwa kazi au kupewa karipio?

Mmejiuliza mnapeleka ujumbe gani kwa wananchi waliosikia matamko yenu kuhusu kufanya siasa?Hamuoni wanazidi kupoteza imani na nyie?

Niwambie tu tumeshatoka katika mfumo wa chama kimoja na mkitaka kuturudisha enzi hizo tambueni mtazalisha kina Mange Kimambi kwa mamia kama sio maelefu.l
Siku zote hatujatoka kwenye mfumo wa chama kimoja. Tunauishi mfimo huo kwa maigizo ya vyama vingi. Jaribio la kutoka huko kw kuandika katiba mpya limeshindwa kwa sababu watawala hawataki tutoke huko.
 
Labda Mtukufu hajui tafsiri ya siasa.

Nadhani yeye kwake siasa ni vyama vya upinzani.

Ndio maana huwa anawa- refer viongozi wa vyama vya upinzani akiwataja kama wanasiasa.
 
Ukikatiza katika viunga vya mji wa Dodoma huwezi amini hii Dodoma iko Tanzania nchi ambayo watu wake wameambiwa siasa mpaka 2020 na sasa watu wafanye kazi na kufanya siasa ni kwa kuzingatia mashariti mapya ambayo sidhani hata kama yako katika katiba na sheria za nchi hii.

Nayasema haya kwasabu tangu CCM wamalize mkutano wao huko Dodoma Jumapili iliyopita,bendera za CCM zinapepea katika viunga vya mji huu utazani tuko kwenye kampeni wakati tumeambiwa siasa mpaka 2020. Mlioko hapa Dodoma mtakuwa mashahidi wa hiki nachokisema.

Viongozi wa serikali mko hapa Dodoma na yote haya mnayaona ila mko kimya tu na wala hamchukui hatua kuhakikisha bendera hizo zinaondolewa mitaani.

Hivi vyama vingine vikiamua visimamishe bendera zao kwa wingi kama mnavyofanya nyie mtakuwa teyari? Bendera za vyama vya upinzani zikipepea katika mji huu hakuna watu watafukuzwa kazi au kupewa karipio?

Mmejiuliza mnapeleka ujumbe gani kwa wananchi waliosikia matamko yenu kuhusu kufanya siasa?Hamuoni wanazidi kupoteza imani na nyie?

Niwambie tu tumeshatoka katika mfumo wa chama kimoja na mkitaka kuturudisha enzi hizo tambueni mtazalisha kina Mange Kimambi kwa mamia kama sio maelefu.l
kwani bendera zimekatazwa au mikutano.Kwa mlivyopoteza muelekeo mmekaa kimya tu hamjui la kufanya.
Mbona Lema juzi kaitisha mkutano?
 
Back
Top Bottom