CCM msihofu mabadiliko hata kwa kuhofia kupoteza kura 2020 ,zitaongezeka Maradufu!!

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Mfanano ni uchaguzi mdogo uliyopota!chama kijitaidi kutekeleza ilani ya chama kwa ukamilifu, pasiwepo rushwa,pasiwepo ufisadi wa aina yoyote, watumishi wa umma wawe na nidhamu kazini,watumishi wa umma wapewe motisha,vijana wapate ajira,elimu iboreshwe ,viwanda vijengwe!!! Msisikilize makelele ya vyura!! Chapeni kazi tu!! Kura zitakuja tu!!
 
CCM ni chama kilicho na wanachama zaidi ya milioni 8, watu wanahangaika na majina mawili matatu.
 
Mfanano ni uchaguzi mdogo uliyopota!chama kijitaidi kutekeleza ilani ya chama kwa ukamilifu, pasiwepo rushwa,pasiwepo ufisadi wa aina yoyote, watumishi wa umma wawe na nidhamu kazini,watumishi wa umma wapewe motisha,vijana wapate ajira,elimu iboreshwe ,viwanda vijengwe!!! Msisikilize makelele ya vyura!! Chapeni kazi tu!! Kura zitakuja tu!!

Ccm hawategemei kura za wananchi ili kushinda, wao wanategemea tume isiyo huru ya uchaguzi na jeshi kubaki madarakani.
 
chama limeshuka daraja kitambo alafu unawapa moyo eti wasiwe na hofu? Weweee!! Kweli hamnazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom