CCM Msaada wa Haraka kwa Katibu Mkuu Wenu, Kuna Jambo!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,145
Kuna jambo sio bure bali linamtatiza Katibu mkuu Dr Bashiru. Anasema kuna ugonjwa unaitwa Tundu Lissu unatakiwa utibiwe na tiba yake ni Magufuli. Well, labda tafiti zilifanyika na kuugundua kama zile za coronavirus. Lakini viashiria alivyotaja ndio vinanitatiza eti ni Uongo, kiburi, uonevu, dhulma, ubinafsi na majivuno!?

Je, kweli huyu Katibu mkuu yuko sawa upstairs? Maradhi hayo kweli yatakuwa yanaitwa Tundu Lissu na dawa yake ni Magufuli au kakosea kuwa maradhi hayo yanaitwa Magu na dawa yake ni TunduLissu?
Dr Bashiru mbona ameanza kuwa mropokaji kiasi cha kuwa hana tofauti na Polepole?
CCM wahini kumpa msaada isije kuwa kuna tatizo zaidi ikawa taabu baadae.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza,
2306076_1572191514899.jpeg
 
Chakaza, Vuta pumzi nyingi ndani, kisha anza kuiachia taratiiibuuu kupitia matundu ya pua, eeh! Unajisikiaje? Bila shaka kifua chako kimekua chepesi sasa.

Haya kwa utuo tuambie siasa umeanza kuifuatilia lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumtetea Tundu Lissu kwa aliyofanya inahitaji kujitoa akili sana kama mleta màda alivyojitoa akili. Je, si kweli kwamba Tundu Lissu ni maradhi
 
Kumtetea Tundu Lissu kwa aliyofanya inahitaji kujitoa akili sana kama mleta màda alivyojitoa akili. Je, si kweli kwamba Tundu Lissu ni maradhi
Unaoushahidi wa aliyoyafanya au inaimbishwa kuwa aliyafanya! Usishuhudie uongo wa wanasiasa na kujiingiza kuhalalisha Lissu kumiminiwa zile risasi. Usijione kuwa uko salama kwa kuwafurahisha hao wasiokujua kumbuka Lissu naye anao wengi ambao hawakufurahishwa na hicho kilichokufurahisha, nao wakikutambua huenda hawatakuacha salama.
 
Back
Top Bottom