CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

Ajirini hata wadada wa kirangi, acheni ujuha, mbegu gani hiyo mnayolazimisha kwenye biashara za watu, hatubezi mwonekano wa mtu yeyote, ila kila muonekano una mahala pake, tusilazimishe. Pia hizo uniform kama manesi ndio nini?
 
Mvuto Wa nn kwani wanakwenda kufanya masaji

IMG_5589.JPG


Warembo wetu wa ATCL hao,wanavutia sana kwa kweli.
 
Ushabiki mwingine haufahi. Ni vizuri mtu kama hajui aulize tu.
Yeye anafikiri wale ni wadad poa kwa hiyo wakiwa na mvuto fulani utawafanya wateja waje?
 
Kila fani ina vigezo mbalimbali kabla ya kuajiriwa, moja wapo kati ya sifa za kuwa airhostess ni pamoja na kuwa na haiba ya kuvutia " pleasant personality" hili jambo haliepukiki , na iwapo una kovu ni lazima liwe limejificha na halipo usoni ama kwenye sehemu ya wazi. Ingia kwenye website za mashirika mbalimbali ya ndege , soma vigezo vinavyohitajika katika kuajiri airhostess
Kuna mambo yanasikitisha,
Yaan mbunge unasema jambo kama hilo bungeni kabsaaa....
Sisi ambao hatujawahi kupanda ndege ngoja tunyamaze.
Lkn mm naona huu n ubaguzi wazi wazi.
 
Wengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Huko kuna warembo gan , miguu kama njiwa
 
Yeye mwenyewe Ana mvuto

Ova
Yeye siyo Air hostess. Ingekuwa haina vigezo kila mtu angekuwa air hostess. Wenzetu anaangalia mpaka makovu na pia kama una tattoo wawakuajiri. Kuna kazi nyingine ziko very sensitive lakini sisi kila kitu siasa ndiyo tunapokwama. Tuki sahihishwa lazima tuje juu kama moto wa kifuu badala ya kukaa kimya na kutafakari kama kuna ukweli ndani yake tujirekebishe.
Tushikuru Tanzania hakuna local airline mbadala ndiyo maana tunaweza kuweka cabin crew andunje watu watapanda hawana jinsi. Ndege ni usafiri wa luxury tuangalie upya. Biashara lazima umridhishe mteja siyo kujiridhisha wewe
 
Sijapitia michango yote ya wadau, labda kwasabbu naogopa kuumiza macho yangu. Nikiwa msafiri wa mara kwa mara wa ndege; niseme hili kwanza. Jukumu la kwanza la air hostess sio kuvutia abiria. Jukumu la kwanza ni huduma ya kwanza ndio maana mafunzo makubwa wanayoyapata ni huduma ya kwanza na pili kiasi kidogo ndio customer care. Uko radhi kuhudumiwa na mtu unayemuita mzuri lakini asiye na ufahamu wa huduma anayokupa ( sisemi kuwa wazuri wote ni vilaza na wabaya wote wana akili; bali kwangu mimi uzuri wa mtu hubaki kwa muonaji) au kuhudumiwa na mtu anayejua anachokifanya? Regardless unapima vipi uzuri wake? Hili suala la kuleta maji na chai limekuja hivi karibu halikua jukumu la msingi la muhudumu wa ndege.
 
Kuna binti wa ATCL flight moja from Mwanza to Dar tulianza safari saa nane usiku kama sikukosei sababu kulikuwa na distruption kwenye flight schedules zao. nikampatia zawadi ya key holder. Ni mrembo sana, ni mrembo mno yule mtoto wa kike.

Toka siku ile nimekuwa nazunguka kwenye hizo ndege sijawahi muona tena. Kama aliacha kazi namtakia kila la kheri huko aliko kama alihamishiwa ofisini kwa bosi siwezi shangaa lakini cha msingi kama yuko hapa JF hata ani PM tu moyo wangu upate faraja japo kidogo naumia mwenzake.
 
Huyo Nwilima ni mwanamke au mwanamme? Vigezo vyake vya uzuri kwa mwanamke ji vipi? Nina wasiwasi naye.
 
Back
Top Bottom