CCM Morogoro mtajiabisha badilisheni mbinu

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,398
CCM Morogoro achane siasa za kijinga zitawaaibisha na mtapoteza muelekeo.

Kitendo cha nyinyi kuwatafuta waganga wa kienyeji na kuwashawishi kwa kuwapa vijihela eti siku ya jumapili ya tarehe 22 wakutane na watoe tamko lao la kumuunga mkono JPM ni siasa za kitoto sana. Mmewaandaa waganga wa jadi kibao wengine hawana uelewa wowote na siasa mnatesa bila faida yoyote.

CCM Morogoro msizitumie njaa za watanzania vibaya. Pia achane siasa za kiboya za kutumia waganga wa kienyeji. PUMBAVU SANA
 
Yale maombi na Dua za Kanisani na Misikitini kuombea viongozi wetu wa kisiasa YAACHWE MARA MOJA!!
 
Kumbe bado tupo kwenye ujima hebu pelekeni madawati hapo kwanza
IMG_20190920_111828.jpeg
 
CCM Morogoro achane siasa za kijinga zitawaaibisha na mtapoteza muelekeo.

Kitendo cha nyinyi kuwatafuta waganga wa kienyeji na kuwashawishi kwa kuwapa vijihela eti siku ya jumapili ya tarehe 22 wakutane na watoe tamko lao la kumuunga mkono JPM ni siasa za kitoto sana. Mmewaandaa waganga wa jadi kibao wengine hawana uelewa wowote na siasa mnatesa bila faida yoyote.

CCM Morogoro msizitumie njaa za watanzania vibaya. Pia achane siasa za kiboya za kutumia waganga wa kienyeji. PUMBAVU SANA
, mbona mkuu umepaniki hatujafikia kwenye sayansi na teknolojia wanahaki ya kufanya hivyo kuliko kufanya maandamano
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom