Kwa maana nyingine nyani ni CHADEMA!
Duuuh hizi shule zetu sijui zinatoa elim ya namna gan? Hata tafsiri ndogo tu unashindwaKwa maana nyingine nyani ni CHADEMA!
Kwahiyo chadema ni nyani?View attachment 1106381
Madhara yake mtayaona baadae hata hizo huduma mbalimbali zitolewazo sasa kwa mbwembwe nyingi na serikali ya CCM nyuma kuna watu wanasema subir waondoke kama hamjatafutana
Ni nyani eeeh!,umeona!Shule ngumu sana
Da! kumbe ndio maana post zako siku zote ni za kuzimukuzimu kumbe ni kichwa hakuna kitu! hata tafsiri ya hili bado ni maruweruwe kwako! kweli ujinga ni maradhi mabaya sana!Kwa maana nyingine nyani ni CHADEMA!
Mnasoma shule gani mkuu..mnashindwa kuunganisha hapa muone uhalis wa mada!! Kweli safar ipo!!Kwahiyo chadema ni nyani?
Kwanini unapenda kujitoa ufahamu?Kwa maana nyingine nyani ni CHADEMA!
EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.View attachment 1106381
Madhara yake mtayaona baadae hata hizo huduma mbalimbali zitolewazo sasa kwa mbwembwe nyingi na serikali ya CCM nyuma kuna watu wanasema subir waondoke kama hamjatafutana
Hii nchi mkuu inahitaji malaika wa vazi jeupe ndy aongoze!!EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.
Word bank na IMF hawatoi mikopo, kisa TZ hakuna demokrasia ya multparty.
Miradi imeanza kusimama. Huenda hata mishahara kulupa itakuwa shida.
Ccm ya akina Membe wameyaona Haya
Maccm majinga yana shangilia kuua demokrasia
EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.