CCM mnavyotaka kuua upinzani kisa hiki kinawahusu sana

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
IMG_1497.JPG

Madhara yake mtayaona baadae hata hizo huduma mbalimbali zitolewazo sasa kwa mbwembwe nyingi na serikali ya CCM nyuma kuna watu wanasema subir waondoke kama hamjatafutana
 
View attachment 1106381

Madhara yake mtayaona baadae hata hizo huduma mbalimbali zitolewazo sasa kwa mbwembwe nyingi na serikali ya CCM nyuma kuna watu wanasema subir waondoke kama hamjatafutana
EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.
Word bank na IMF hawatoi mikopo, kisa TZ hakuna demokrasia ya multparty.

Miradi imeanza kusimama. Huenda hata mishahara kulupa itakuwa shida.

Ccm ya akina Membe wameyaona Haya

Maccm majinga yana shangilia kuua demokrasia
 
Hii nchi mkuu inahitaji malaika wa vazi jeupe ndy aongoze!!
 
EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.
Word bank na IMF hawatoi mikopo, kisa TZ hakuna demokrasia ya multparty.

Miradi imeanza kusimama. Huenda hata mishahara kulupa itakuwa shida.

Ccm ya akina Membe wameyaona Haya

Maccm majinga yana shangilia kuua demokrasia

Tupo kwenye hali mbaya sana mkuu
 
Back
Top Bottom