CCM mnavyotaka kuua upinzani kisa hiki kinawahusu sana

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
18,483
Points
2,000

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
18,483 2,000
Kwa maana nyingine nyani ni CHADEMA!
Kwamba hata kutafsir kwako ni shida nakusaidia ccm ni nyani wanaoshangilia kuuliwa kwa chadema upinzani kwa ujumla wakiamini watakula mahindi bila vikwazo kuliibia Taifa kama vile 1.5 trilion zilivyopotea

Shule mnasomea ujinga watu wengine
 
mliberali

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
6,509
Points
2,000

mliberali

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
6,509 2,000
View attachment 1106381

Madhara yake mtayaona baadae hata hizo huduma mbalimbali zitolewazo sasa kwa mbwembwe nyingi na serikali ya CCM nyuma kuna watu wanasema subir waondoke kama hamjatafutana
EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.
Word bank na IMF hawatoi mikopo, kisa TZ hakuna demokrasia ya multparty.

Miradi imeanza kusimama. Huenda hata mishahara kulupa itakuwa shida.

Ccm ya akina Membe wameyaona Haya

Maccm majinga yana shangilia kuua demokrasia
 
Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
4,779
Points
2,000

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
4,779 2,000
EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.
Word bank na IMF hawatoi mikopo, kisa TZ hakuna demokrasia ya multparty.

Miradi imeanza kusimama. Huenda hata mishahara kulupa itakuwa shida.

Ccm ya akina Membe wameyaona Haya

Maccm majinga yana shangilia kuua demokrasia
Hii nchi mkuu inahitaji malaika wa vazi jeupe ndy aongoze!!
 
radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
18,483
Points
2,000

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
18,483 2,000
EU wamekata misaada, MCC waliondoka kitambo. Scandinavia wako mbioni kukata huduma.
Word bank na IMF hawatoi mikopo, kisa TZ hakuna demokrasia ya multparty.

Miradi imeanza kusimama. Huenda hata mishahara kulupa itakuwa shida.

Ccm ya akina Membe wameyaona Haya

Maccm majinga yana shangilia kuua demokrasia
Tupo kwenye hali mbaya sana mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,391,799
Members 528,470
Posts 34,089,951
Top