CCM mnatafuta marafiki au mnajimaliza?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
CCM imetangaza baadhi ya vyombo vya habari kuwa ni marafiki wao.Baadhi ya vyombo vya habari vimetengwa kuwa ni maadui wao.Urafiki ni kutokana na kuandikwa vizuri au kwa kusifiwa, maadui ni kutokana na kuandikwa vibaya au kutosifiwa.Nawauliza jamani rafiki wa kweli ni yule anayekusifu wakati unakosea au yule anayekukosoa ukikosea?CCM kutaka/kulazimisha/kushawishi kusifiwa wakati inakosea si kujimaliza?Naomba mawazo yenu wanaJF.
 
watu wana-vyama vyao mfukoni wanasubiri kinuke watimue kwani hukusikia walipo kutana kule mbeya..
 
Mimi naona rafiki wa kweli ni yule anayekueleza ukweli.Ukweli utamsaidia mhusika kujirekebisha.
 
Back
Top Bottom