Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
CCM imekuwa inajinadi kuwa imejisafisha Na kwamba Mafisadi wote wako Chadema.Kwa Mujibu wa Ripoti ya CAG aliyomkabidhi Mh.Rais Na Spika wa Bunge imejaa Ufisadi mkubwa wa Kutisha.Miongoni mwa matukio ya Ufisadi ni
1.Lugumi kulipwa zaidi ya Bil.41
2.Misamaha ya kodi Kwa kuingiza Magari zaidi ya 200
3.Migodi kutokulipa kodi watendaji kula rushwa n.k.Matukio yote hayo ni Ufisadi najiuliza hao Mafisadi wanaokwapua Hela hizo nao wako Chadema?