Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,913
- 13,232
Binafsi nimekuwa nikifuatilia hotuba Za JPM, na wanaCCM wakipongeza kila anachokiongea na ww ukimkosoa utashambuliwa mpaka basi. Sasa kuna hotuba yake alisema kila utakachonunua omba risiti, na leo nikaenda kwenye duka moja la Mwana CCM kinda kinda kununua vifaa fulani kama vya 100,000/= baada ya kununua nikamuomba risiti.
Dah kidogo niambulie za uso. Nikamwambia kwani mh JPM kasemaje hilo tusi nililopewa ni siri yangu. Swali langu kwa wanaccm hivi nyie mbamsapoti jpm kwa maneno lakini sio vitendo?
Dah kidogo niambulie za uso. Nikamwambia kwani mh JPM kasemaje hilo tusi nililopewa ni siri yangu. Swali langu kwa wanaccm hivi nyie mbamsapoti jpm kwa maneno lakini sio vitendo?