CCM mnafikia hatua ya kuwafikisha Kinana, Makamba kamati ya Nidhamu? Hakika huko mnakoenda mwisho wake sio mzuri

Kwaio ungependa iendelee kulea ujinga kisa taito ya mtu. Hii ndio Safi hata huyu akimaliza muda wake Kama Kuna madudu alifanya ashatakiwe tu.
Unasema kabisa eti kama kuna madudu au madudu tayari yapo kibao. Hivi ukiwa ccm akili huwa zinaenda wapi?
 
Hivi Makamba na Kinana wameshafika mbele ya Kamati ya nidhamu? Tumemuona Membe tu akiingia na kisha akatoka na kuongea kidogo na wanahabari
 
Nimeangalia sana mwenendo wa CCM ya leo na viongozi ambao wana historia nzito sana katika CCM na Tanzania kwa ujumla, na kufikia muafaka kwamba safari ya CCM kwenda huko wanakojua wenyewe mwisho wake sio mzuri.

Tangu uongozi wa CCM ya sasa uingie madarakani umekorofishana na karibu viongozi wote ambao huko nyuma walikuwa ni watu wenye heshima zao kubwa sana ndani ya chama.

Nakumbuka hii ni kuanzia Kingunge, Nyalandu, Prof. Mwandosya, Makamba, Membe, na Kinana! Na hata wamekua wakimchokonoa sana Kikwete, wengine kudiriki kumkosea heshima kwa kauli kwamba hakuna alofanya kulinganisha na Magufuli - kauli ambazo tungetegemea zitoke kwa watu wa vyama vya upinzani.

Hivi katika uzito wa kisiasa wa mtu kama Kinana, Makamba, leo hii ungetarajia waitwe hadharani kuhojiwa na Kamati ya Nidhamu ya CCM? Na jambo moja kubwa, hivi hawa wazito wa zamani wa CCM wanakorofishana na CCM kama chama au kiongozi mmoja tu ambaye mkipishana kauli anataka ionekane ionekane umeikorofisha CCM yote?

Nyie CCM huko mnakokwenda, au kwa usahihi zaidi, huko mnakopelekwa mwisho wake sio mzuri. Mark my words.
Naona umeandika kinyume, km una akili jiulize kwann ww na rais magufuli mnamchukia Mh tundu lissu na wapinzani kwa ujumla?
"Think big"Aliwakosea nn?
 
yaache yatafunane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna alie juu ya chama,kama hawafahamu muda wao wa utumishi ndani ya chama umepita,wanawashwa,acha wasurubiwe tu

Anayetaka heshima kwenye chama atengeneze chake nyumbani, lakini chama cha umma kinatakiwa kuwa na heshima zaidi kuliko mtu, watu wafate misingi hiyo, sio misingi ndo ifate watu.
 
Kweli mnadiriki kuwadhalilisha Kinana na Makamba hadharani kwa kisingizio kwamba chama ni cha umma? Kosa lao nini hasa, Magufuli kutopendezwa na mawasiliano yao ya simu? Mwambieni Magufuli amalizane nao.

Tatizo ni kwamba chama chenu siku hizi kinafanya kazi kwa kujipedekeza kwa mtu mmoja.
 
Mimi nahisi Membe,Kinana na Makamba wameitwa ili kuombwa msamaha kwa yaliyo wakuta.
Nimefurahi sana,amesikika Membe.
Hata kama ni hivyo si sawa. Huwezi kutaka kuniomba msamaha kwa namna ya kutaka kunidhalilisha na kujificha katika kuomba kwako msamaha. Basi CCM weseme wazi tunawaomba waje ili tuwaombe msahama. Yaani unatoa amri ya kuniita ili uniombe msamaha? Huo ni unafiki.
 
Naona umeandika kinyume, km una akili jiulize kwann ww na rais magufuli mnamchukia Mh tundu lissu na wapinzani kwa ujumla?
"Think big"Aliwakosea nn?
Mimi namchukia Tundu Lisu na wapinzani? Umelitoa wapi hilo. Mimi nawapenda wote, CCM na wapinzani na nachua wote wana sehemu muhimu katika maendeleo ya Tanzania.
 
Hivi Makamba na Kinana wameshafika mbele ya Kamati ya nidhamu? Tumemuona Membe tu akiingia na kisha akatoka na kuongea kidogo na wanahabari
Naona kama wamegoma. Kama wamegoma nawaungfa mkono asilimia 100. Wasikubali udhalilishaji huu wa rejareja. CCM sio mama wala baba yao. Hata Kingunge alijitoa pamoja na kuwa na damu ya kijani na ubongo wa njano!
 
Hata kama ni hivyo si sawa. Huwezi kutaka kuniomba msamaha kwa namna ya kutaka kunidhalilisha na kujificha katika kuomba kwako msamaha. Basi CCM weseme wazi tunawaomba waje ili tuwaombe msahama. Yaani unatoa amri ya kuniita ili uniombe msamaha? Huo ni unafiki.
Nikatika fkra za kiutani tu.
Kuna shida kea sasa
 
Back
Top Bottom