CCM mnafanya kosa kubwa!

Tatizo ni wapinzani hawana lakufanya ila kutafuta uzi ndani ya yai!!!
Badala yakumangusha na kumpinga Rais wetu, jiungeni nae na muisaidie kuijenga Nchi na kuleta maarifa, "POSITIVE CRITICS'
We nawe ucjifanye zombie mkubwa huyo unaesema tujiunge nae kutwa anamtuma bashitte amsake tundu ammalize afu unaanzaje kujiunga nae
 
We nawe ucjifanye zombie mkubwa huyo unaesema tujiunge nae kutwa anamtuma bashitte amsake tundu ammalize afu unaanzaje kujiunga nae
Huyo Bashite ndiye anauetuvurugia nchi..

Hata hivyo umemsikia Mkulu akitamka kuwa vyeti vya nini kwa Bashite??

Mradi huyo RC anamkamatia wauza "ngada" basi huyo ndiye the best RC ever!
 
Haya matamko toka nchi jirani ya kanda ya ziwa mji mkuu chatoo yanatosha kuiteketeza kabisa sisiem 2020.
 
sheria za uchaguzi haziruhusu Mpira Kura Kalinda Kura
Haziruhusu kwa vipi??

Ni wajibu wa wapiga kura kulinda kura zao....

Ikitokea CCM wakapiga marufuku ulindaji kura huo, ujue wana mpango wa kuiba kura hizo.
 
Back
Top Bottom