Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,080
- 8,219
Compare & Contrast...
DuuhRejea takwimu za twawueza. Chama kimejinyakulia wale wote ambao ni vichaau, akili ziro kabisa. 🚣.
Asilimia 60 ya wanaCCM wamesajiliwa online kabla ya uchaguzi mkuu 2020.CCM kuweni wa kisasa, acheni kadi za hardcopy, zishapitwa na wakati
Muombeni Catherine Rugge awape Mbinu, za ku attracts wanachama kujisajiri online.
View attachment 1986751