CCM mmejiandaaje na hii kauli "Kula CCM lakini kura UKAWA"?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
CCM wanaendelea na mbinu zao zilezile walizotumia miaka kadhaa iliyopita ,kama kutumia watu walewale kwenye mikutano zaidi ya mitano tofauti ili waonekane wana mafuriko wakati kihalisia wanachofanya ni 'drip irrigation',kuendelea kuwalipa watu wanaoudhuria mikutano,kutumia wanafunzi ambao wengi wao hata miaka 14 hawajafikisha na kutumia hela nyingi kuwalipa wasanii.
Swali langu ni je hawa wazee wa Lumumba wanajua kweli hii kauli huku mitaani ya KULA CCM LAKINI KURA UKAWA?
 
Attachments

  • 12108070_889484051138654_3618860675367695719_n.jpg
    12108070_889484051138654_3618860675367695719_n.jpg
    38.5 KB · Views: 714
CCM wanaendelea na mbinu zao zilezile walizotumia miaka kadhaa iliyopita ,kama kutumia watu walewale kwenye mikutano zaidi ya mitano tofauti ili waonekane wana mafuriko wakati kihalisia wanachofanya ni 'drip irrigation',kuendelea kuwalipa watu wanaoudhuria mikutano,kutumia wanafunzi ambao wengi wao hata miaka 14 hawajafikisha na kutumia hela nyingi kuwalipa wasanii.
Swali langu ni je hawa wazee wa Lumumba wanajua kweli hii kauli huku mitaani ya KULA CCM LAKINI KURA UKAWA?

Kauli-Mbiu zingine ziko kama π = 22÷7, hazibadiliki kamwe. Kwa hiyo wawe wamejiandaa au hawajajiandaa haitobadili hili
 
Back
Top Bottom