CCM mmeandaa mapingamizi juu ya katiba mpya?

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,111
2,000
Uchaguzi wa serikali za mitaa umeonesha uoga wa kushindwa kwa ccm kwa kiwango cha juu.
Uoga huu umeoneshwa kwa hatua ya ccm kuwawekea mapingamizi ya hila wapinzani.
Kwa hayo mapingamizi angalau imepata ahueni kidogo.
Kuna sehemu ccm wameshinda kwa wana UKAWA kutokutimiza kikamilifu dhana ya kuachiana.
Mf maeneo kadhaa ya Vunjo kati ya CDM na NCCR.(Inawezekana muda hukutosha kutathimini nguvu za vyama)
Upigiaji kura katiba inayopendekezwa umekaribia sana.
Hapa wana UKAWA wote watanadi kura moja,kura ya HAPANA.
Tume ya katiba nayo itanadi kura ya HAPANA.
Wanaharakati wote wenye ushawishi nao watanadi na kupiga kura ya HAPANA.
CCM peke yao watanadi kura ya NDIO kupitia wanasiasa wao waliochafuka kwa kashfa ya ufisadi kama Chenge,Lowassa,Sitta,KJ n.k
swali la kujiuliza ni ccm watatokea mlango gani baada kusulubiwa na UKAWA kwenye serikali za mitaa?
Watatuwekea mapingamizi tena ili tusipige kura ya HAPANA?
Watatumia hila gani kuzuia watu wasiikatae katiba ya kifisadi(fisadi hawezi kutengeneza katiba ya kuzuia ufisadi wake),katiba pendekewa?
Au wataiba kwa kutumia mfumo wa upigaji kura?
 
winner forever

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,096
1,195

Facts zako nyingine zote nakubaliana nazo ila sikubaliani na swali lako kuwa ccm watatokea mlango gani baada kusulubiwa na UKAWA kwenye serikali za mitaa?. Katika uchaguzi huu bado CCM wameshinda kwa kiwango kikubwa tu. Kuiangusha CCM siyo lelema,
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,111
2,000
Amini usiamini,kama 2010 wakati upinzani hawana viongozi kabisa au wachache mno serikali za mitaa ccm walidondosha zaidi ya 20% kwenye kura za urais,kwa haya matokeo ccm wamesulubiwa na watarajie kudodosha over 40% mwakani.
Kumbuka 2010,mgombea urais alikuwa ni -incubet.
Kama huamini kama ccm wamepigwa kiufundi subiri Kikwete atawakumbusha kujiandaa kisaikolojia na kunyoosha mikono.
Facts zako nyingine zote nakubaliana nazo ila sikubaliani na swali lako kuwa ccm watatokea mlango gani baada kusulubiwa na UKAWA kwenye serikali za mitaa?. Katika uchaguzi huu bado CCM wameshinda kwa kiwango kikubwa tu. Kuiangusha CCM siyo lelema,
 
LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,092
1,250
Facts zako nyingine zote nakubaliana nazo ila sikubaliani na swali lako kuwa ccm watatokea mlango gani baada kusulubiwa na UKAWA kwenye serikali za mitaa?. Katika uchaguzi huu bado CCM wameshinda kwa kiwango kikubwa tu. Kuiangusha CCM siyo lelema,
Kweli we sio muelewa kabisa mkoa wa arusha isilimia kuwa ccm ndio ilikuwa inaongoza sasa hivi wamepokonywa wacha mikoa mingine ccm kalaga bao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom