CCM: Mlishawahi kuisoma hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: Mlishawahi kuisoma hii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Miradi, Sep 25, 2012.

 1. M

  Miradi Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NIMEIKUTA SEHEMU HII,TUITOLEE COMMENTS HAPO CHINI,KWA UPANDE WANGU IMENIFURAHISA IMENIELIMISHA,VP KUHUSU WEWE MWANA KWETU?

  INASEMA HIVI;

  Siku chama kilipokuwa kinamuaga mzee Kawawa (alipostaafu rasmi siasa za majukwaani), katika hotuba ya shukrani Kawawa alisema, pamoja na mambo mengine: ‘Naahidi nitakufa nikiwa mwanachama mwaminifu wa CCM.’

  Ilipofika zamu ya Mwalimu Nyerere kuzungumza, akasema:
  ........... ‘Rashid una roho ngumu. Utakufa mwanachama mwaminifu wa CCM? Mimi siwezi kuyasema haya. CCM inaweza kubadilika. Siku ikiacha misingi, nami naachana nayo, kwa sababu CCM si mama yangu. Ninaye mama mmoja na siwezi kupata mwingine...’
   
 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  That is what we call Politics...!
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata mimi niliahidi kufia huko.
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280

  Sababu kubwa ya kufia huko ni kuganga njaa hakuna sababu nyingine!!
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  UFINYU WA MAWAZO pamoja na njaaaa!
   
 6. S

  Starn JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna chama ambacho mimi naweza kukaa na kufia huko.
   
 7. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mwalimu alikuwa anajua nini maana ya siasa za majitaka toka kitambo sana.
   
Loading...