Nawapongeza watanzania kwa kufanya uamuzi usiotarajiwa na wengi. Wananchi wameamua kuchagua nuru badala ya giza, wameamua kuchagua haki badala ya dhuluma, wameamua kuchagua vitendo badala ya maneno, wameamua kuchagua uzalendo badala ya ubinafsi.
Wana CCM tuliwapa nafasi, mkashindwa kuitumia. Wakumlaumu ni Rais wenu asiyeambilika, na mwanawe Ridhiwan, na mkewe Salma, pamoja na mafisadi aliowakumbatia.
CCM imefia mikononi mwa Kikwete. Kiburi si maungwana.
Na sisi wanamapinduzi wengine hivi sasa tunasonga mbele.