Elections 2010 CCM mlilieni Kikwete na mafisadi wake...wamevuna walichopanda

Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,707
638
Nawapongeza watanzania kwa kufanya uamuzi usiotarajiwa na wengi. Wananchi wameamua kuchagua nuru badala ya giza, wameamua kuchagua haki badala ya dhuluma, wameamua kuchagua vitendo badala ya maneno, wameamua kuchagua uzalendo badala ya ubinafsi.

Wana CCM tuliwapa nafasi, mkashindwa kuitumia. Wakumlaumu ni Rais wenu asiyeambilika, na mwanawe Ridhiwan, na mkewe Salma, pamoja na mafisadi aliowakumbatia.

CCM imefia mikononi mwa Kikwete. Kiburi si maungwana.

Na sisi wanamapinduzi wengine hivi sasa tunasonga mbele.
 
Nakubaliana na wewe hili ni KOSA la KIKWETE sio CCM.

Ahsante kwa mara ya kwanza umeongea kama mtanzania. Sasa hivi sijali CCM imeshinda au CHADEMA. Nafurahi watanzania kutuma salam kwa vyama (Iwe CUF, CCM, CHADEMA) kwamba hatima ya taifa wataamua wenyewe daima! Namshukuru Mungu na sijali matokeo ya Mwisho tena. Malengo niliyojiwekea yametimia na watanzania wote najua wako na furaha. By the way leo nimejitangazia mapumziko!
 
CCM tumeshinda kwa ujumla check sources zako

Okay kwa asilimia ngapi? Teh teh teh teh zile 80 mlizokuwa mnasema? Je? Ni ule ushindi wa kishindo mliokuwa mnausema? Teh teh teh Je? Ni ile ari zaidi na nguvu zaidi mliokuwa mkiisema? Teh teh teh.

PEOPLE'S POWER:yield::yield:
 
Jamanieee,
Hili ni fundisho kuwa Tanzania ina watu wenye maono na akili za kupambanua mambo. Baada ya kushinda kwa kishindo, sasa ni .............
 
Nakubaliana na wewe hili ni KOSA la KIKWETE sio CCM.

Duh! Siku zote ulikuwa wapi useme ukweli kama kada wa thithiem? lakini hongera msema ukweli ni mpenzi wa Mungu, hata kama akichelewa kuusema ukweli . Makosa miliyafanya 2005 kumpa Mkwere badala ya SAS. Mkaacha mafisadi watumie mabilioni kumpitisha Mkwere huku mkifumbia macho hali ile. Tangu 2005 mliona wazi kwamba Mkwere anaboronga lakini mkafunga macho au kuangalia pembeni na hata kuthubutu kusema Mkwere kawafanyia mengi Watanzania na mna utamaduni wemu wa kuachiana kukaa madarakani vipindi viwili hata kama aliye madarakani ameboronga vipi. Kama hamtachakachukua basi nyie MRIE TU! imekula kwenu. :peace::peace::peace:
 
CCM tumeshinda kwa ujumla check sources zako
agreed mkuu... what a landslide vixtory ===85% hahahaaaaaaaaaa...

hii kesi naifananisha na ya tyson kupigana na matumla halafu matumla akashindwa kwa point... CCM JOKA LA KIBISA
 
Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu
Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu
Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu Mbayuwayu
PEOPLE'S POWER:yield::yield:[/QUOTE]
 
Nawapongeza watanzania kwa kufanya uamuzi usiotarajiwa na wengi. Wananchi wameamua kuchagua nuru badala ya giza, wameamua kuchagua haki badala ya dhuluma, wameamua kuchagua vitendo badala ya maneno, wameamua kuchagua uzalendo badala ya ubinafsi.

Wana CCM tuliwapa nafasi, mkashindwa kuitumia. Wakumlaumu ni Rais wenu asiyeambilika, na mwanawe Ridhiwan, na mkewe Salma, pamoja na mafisadi aliowakumbatia.

CCM imefia mikononi mwa Kikwete. Kiburi si maungwana.

Na sisi wanamapinduzi wengine hivi sasa tunasonga mbele.

Mundu Hongera sana,,, KUJIPA MOYO ni sawa kabisa,, ila tu usishau dakika 90 bado...
 
Back
Top Bottom