CCM mbona hawaandamani?

Nashindwa kuwaelewa CCM! Kabisa nashindwa.

* Yaliwawezesha kutwaa nchi kutoka kwa wakaloni.

* Yaliwalea.

* Yaliwawezesha kusambaza itikadi na sera zenu -- kwa mfano za ujamaa.

* Yaliwawezesha kupambana vyema na wapinzani baada ya vyama vingi kuanza.

* Yalikuwa yanawapatia ushindi wa kishindo.

CCM – inakuwa vipi leo hii maandamano yanakuwa hayafai, hayana tija, ni matumizi mabaya ya hela za walipa kodi, na kadhalika na kadhalika?

Siku hizi chuki yenu dhidi ya maandamano ni nini hasa? Tuelezeni bila ya kutafuna maneno!

Nawasilisha!

Hawa jamaa kweli wameishiwa, kumbuka juzi juzi tu 2006 walikuwa kila JK akitoka matembezini ng'ambo wanaenda kumpokea aiport na baada ya hapo kuandamana
 
CCM kuandamana yanatakiwa kwanza mabilioni ya kutumia kwenye malori ya kuwasomba watu kwenda kwenye maandamano, kuwahonga waende, na kuwapa pombe baadaye. Sasa kwa vile vinara wa uchotaji wa mabilioni wamevuliwa kama magamba, wataandamanaje? Kwa fedha za nani?
 
Mbona walifanya maandamano Morogoro na Kibaha wakati wa kupokea magamba mapya kutoka Dodoma!
 
sasa yale maandamano yalikuwa ya kusikiliza ngonjera ya magamba.wananchi waliobakia walisikilizia kwenye tv,na ikachuja b4 cd haijaingia sokoni.
wanaweza kuandamana kupongeza kuahirishwa kuvua magamba,manake wameprove wao ni kambale!
<p>
Mbona walifanya maandamano Morogoro na Kibaha wakati wa kupokea magamba mapya kutoka Dodoma!
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
ccm wakiandamana kwa sababu wazilizotaja chadema watakuwa hawana msimamo na wao wanataka waonekane wanamsimamo
 
Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.

Basi jirani akiita tokomile kwenye harusi ya mwanaye nasisi tuite vanga tucheze wakati hatuna harusi? CCM sio vichaa Siku tukipata sababu ya kufanya maandamo tutaandamana bila wasiwasi wowote, maandamo pekee hayatatua matatizo ya nchi yetu, tunatafakari njia sahihi.
 
Nnakumbuka mwaka 1996 tulilazimishwa wanafunzi wa shule ya msingi Shirimatunda iliyopo Moshi kwenda kwa maandamano hadi uwanja wa mashujaa mjini Moshi kwa ajili ya kwenda kusikiliza mkutano wa aliewahi kuwa raisi wa Jamuuri ya Mungano Benjamin Mkapa na siku hiyo hamna masomo kbs shuleni,leo ccm inaona maandamano ya Chadema ni kikwazo kwao si wafanye na wao!!?
 
Nashindwa kuwaelewa CCM! Kabisa nashindwa.

* Yaliwawezesha kutwaa nchi kutoka kwa wakaloni.

* Yaliwalea.

* Yaliwawezesha kusambaza itikadi na sera zenu -- kwa mfano za ujamaa.

* Yaliwawezesha kupambana vyema na wapinzani baada ya vyama vingi kuanza.

* Yalikuwa yanawapatia ushindi wa kishindo.

CCM &#8211; inakuwa vipi leo hii maandamano yanakuwa hayafai, hayana tija, ni matumizi mabaya ya hela za walipa kodi, na kadhalika na kadhalika?

Siku hizi chuki yenu dhidi ya maandamano ni nini hasa? Tuelezeni bila ya kutafuna maneno!

Nawasilisha!

Huwaelewi nini sasa na vitu umeisha vitaja mwenyewe? jamaa wamepoteza dira CDM , Mwalimu aliisha sema dhambi ya udini + ukabila mbaya sana, ndio inayo watafuna cdm
 
Waandamane nani atawaunga mkono? wanaogopa wakiangalia uungwaji mkono wa chadema. Wao hawawezi kupata uungwaji mkono huo.
 
Huwaelewi nini sasa na vitu umeisha vitaja mwenyewe? jamaa wamepoteza dira CDM , Mwalimu aliisha sema dhambi ya udini + ukabila mbaya sana, ndio inayo watafuna cdm

Kumbe ukiwa genius unaelewa kinyume! du ungebadilisha jina ndugu
 
Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.

Maandamano sio njia sahihi ya kushughulikia matatizo ya wananchi, wao wanatekeleza majukumu yao vizuri, sasa maandamano ya nn tena ? Chama imara siku zote huwa hakiandamani andamani tu , ndivyo walivyo CCM
 
Kumbe ndio maana TBC hawakuonyesha yale ya Mbeya jana...CCM bana yaaani wanaona kila kitu ni cha kwao>>>>>>!!
 
Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.
mmesahau kwamba viongozi wengi wa cdm hawana kazi ya kufanya ndio maana wana muda kufanya maandamano yasiyokuwa na kichwa wala miguuu
 
Hivi chichiem mbona hawafanyi maandamano hata kidogo,au wao wanaona inji iko sawasawa.Wapi maji,barabara,huduma za afya,elimu,umeme,ujangili ndani ya chichiem,maisha magumu n.k.Mambo ni mengi ya kufanyia maandamano.
Au wenzetu wana chichiem maisha mpeto.
viongozi wote wa kitaifa wa cdm hawana kazi ndio maana muda wote wanafikiria maandamano ambayo hayana kichwa wala miguu
 
Kumbe ndio maana TBC hawakuonyesha yale ya Mbeya jana...CCM bana yaaani wanaona kila kitu ni cha kwao>>>>>>!!

He, unataka huyu mkurugenzi mpya Mshana atie mchanga kitumbua chake? Amepewa mnofu juzi tu halafu eti aonyeshe maanadamano ya PIPOOZ yaliyoi-humiliate chama cha Mabwana zake? Arudie 'makosa' ya Tido?

Lakini lazima atambue kwamba wimbi la CDM haliwezi kuzuiwa na hicho kinyangarika chake -- ambacho ni cha walipa kodi. CDM inapanda chati bila hata ya msaada wa TBC.
 
Hiyo ndio definition sahihi ya unafiki ccm wanacho practise ni unafiki tu,yaan wao wakifanya ni bora lakin cdm wakifanya ni udin,ukabila majinga kweli!
 
Back
Top Bottom