Ccm mbeya mahakamani kwa utapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm mbeya mahakamani kwa utapeli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbugi, Jan 6, 2012.

 1. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Chama cha mapinduzi mkoa wa mbeya kimejikuta matatani baada ya kutumia nguvu na katika madhingira ya kutatanisha katika hatua yake ya kutaka kuwaondoa wapangaji katika jengo lake la ilipokuwa sukita mkabala na office za TRA mbeya. habari za kuaminika ni kuwa aliyekuwa katibu msaidizi na mhasibu wa chama mkoa anayejulikana zaidi kwa jina moja la Mwita amabaye kwa sasa amepandishwa cheo na kuwa katibu wa wilaya ya mbalali kituo ambacha hajaweza kulipoti kwa kutakiwa kwanza kumaliza tatizo/shauri lilopo mahakamani na ambaye anakaimu ukatibu wa mkoa baada ya katibu kwenda likizo, ni chanzo cha tatizo, kutokana na kutumia nafasi hiyo kutaka kujinufaisha kwa kutaka wapangaji waliopo ktk jengo hilo waondoke na hatimae kuwapangisha wale inaosadikika wamempatia kitu kidogo. hoja iliyopelekwa mbele ya wajumbe wa kamati tendaji ya mkoa ni kwamba wapangaji hao wamekuwa wakitumia majengo hayo kuzungumza mambo ya siasa.

  wapangaji wa jengo hilo ni PAMOZI (ukumbi wa disco) na makataba wake unakoma 2013 akiwemo pia mpangaji wa soloon ya kiume anayelipa kodi ya chumba kwa mwezi shs 300,000. hata hivyo pamoja na nguvu ya ccm kutumia dalali ilizimwa na polisi baada ya kubaini hawakuwa na kibali cha mahakama cha kuwaondoa ktk jengo hilo, kurudisha vyombo ndani, na baadaye mpangaji huyo kupeleka kesi hiyo mahakamani.
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  majengo mengi ya ccm ni ya serikali. washatupiga bao hawa asee
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Funga chama cha wezi hicho mxiiii
   
 4. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  nadhani ni mwanzo mzuri ktk harakati za kudai haki
   
Loading...