CCM Mashine kubwa ina Saga na Kukoboa.

propagandist

Member
Aug 12, 2011
93
9
Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa igunga, ni kauli inayoonesha kutumia ubabe, na je? inawezekana aje kuwapo Mashine inayosaga na kukoboa? badala ya "kukoboa na kusaga"
 
Mausemi ya kwenye kanga haya.
 
Mwigulu Nchemba ametuonyesha mfano wa Mashine hiyo inavyofanya kazi huko Igunga. Wenye wake zenu akili kumkichwa.
 
Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa igunga, ni kauli inayoonesha kutumia ubabe, na je? inawezekana aje kuwapo Mashine inayosaga na kukoboa? badala ya "kukoboa na kusaga"
Sijakupa sawa sawa mkuu, yaani unamaanisha yule kiongozi wenu mkuu wa kampeni aliyemkoboa yule mke wa kada mwenzake kwa kutumia hela za kampeni?
 
Ni kweli inasaga na kukoboa! Wananchi wamekobolewa kisawasawa kwa ugumu wa maisha na mgawo wa umeme!
 
Watatumia kila aina ya misemo ili waonekane wababe lakini wamechemka! Mambo yao menyewe yako shagalabala alafu ni ya kukurupuka thats why wanatumia misemo isiyokuwa na logic!
 
kweli ccm mnatapatapa.inakuwaje mnapingana na kauli mbiu ya mwenyekiti wenu wa chama?au ndo kila mtu anakufa kifo chake?mimi ni nayo ijua ni NGUVU ZAIDI,KASI ZAIDI HALI ZAIDI.vipi imekuaje mkabadilisha?au haina mvuto?nyinyi mumefulia sera zenu.na mwaka huu hatudanganyiki.mtajibbeba aisee.mia
 
kwa sababu wote ni waroho, acha wamalizane wao kwa wao! Wanaona haya kuitamka hiyo kauli mbiu ya mkubwa wao kwa sababu imewatafuna wao wenyewe!
 
Hii ni kauli mbiu inayotumiwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa igunga, ni kauli inayoonesha kutumia ubabe, na je? inawezekana aje kuwapo Mashine inayosaga na kukoboa? badala ya "kukoboa na kusaga"

wanasagana na kukoboana wenyewe kwa wenyewe. Wameanza kwa kumwagiana tindikali, kuibiana wake sasa kuchomeana nyumba.
 
Mashine zipo nyingi hiyo kazi yake ni KUSAGA na KUKOBOA haki za wananchi, WANA IGUNGA tuinyime mafuta kwenye sanduku la kura 2 Oktoba
 
Back
Top Bottom