Ccm: Marufuku mikutano ya kutangaza kugombea na mikakati ya ushindi

london

JF-Expert Member
Sep 12, 2010
221
143
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema makada na wanachama wa chama hicho wanaoonyesha nia ya kutaka kuwania udiwani, ubunge na urais katika Uchaguzi Mkuu ujao bila kufuata taratibu, majina yao yatakatwa "Hata kama watapata kura nyingi za maoni zinazofika mbinguni."

Kinana ameziagiza kamati za siasa za wilaya na mikoa yote nchini kuhakikisha zinafanya vikao na kuandika taarifa za watu wanaowavuruga wabunge au madiwani waliopo madarakani kwa kufanya mikutano ya siasa bila kufuata taratibu za chama na taarifa zao zipelekwe makao makuu ya CCM.

Kinana ameziagiza kamati za siasa za wilaya na mikoa yote nchini kuhakikisha zinafanya vikao na kuandika taarifa za watu wanaowavuruga wabunge au madiwani waliopo madarakani kwa kufanya mikutano ya siasa bila kufuata taratibu za chama na taarifa zao zipelekwe makao makuu ya CCM. Mangula alisema: "Ni mwiko kwa kiongozi au mwanachama yeyote wa CCM kuunda vikundi visivyo rasmi ndani ya chama au kushiriki katika kampeni za uchaguzi za chinichini kinyume na ratiba ya uchaguzi na taratibu rasmi zilizowekwa." Source: Mwananchi Jumatano
 
Hahaha ha Mwigulu na Nape wanaongea hili kuhusu CHADEMA then Katibu Mkuu wao anapiga U-turn na kuwapinga
 
Mbona wanataka kuwachanganya watu? Kwao wanasema ni mwiko lakini kwa CDM wanasema ni demokrasia?

Eti Bwana, wakati Zitto group walifanya hicho hicho ambacho CCM inakikataa na walipoadhibiwa wanasema wameonewa. Hapo ndipo utzishangaa akili za CCM.

Tiba
 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema makada na wanachama wa chama hicho wanaoonyesha nia ya kutaka kuwania udiwani, ubunge na urais katika Uchaguzi Mkuu ujao bila kufuata taratibu, majina yao yatakatwa "Hata kama watapata kura nyingi za maoni zinazofika mbinguni."

Kinana ameziagiza kamati za siasa za wilaya na mikoa yote nchini kuhakikisha zinafanya vikao na kuandika taarifa za watu wanaowavuruga wabunge au madiwani waliopo madarakani kwa kufanya mikutano ya siasa bila kufuata taratibu za chama na taarifa zao zipelekwe makao makuu ya CCM.

Kinana ameziagiza kamati za siasa za wilaya na mikoa yote nchini kuhakikisha zinafanya vikao na kuandika taarifa za watu wanaowavuruga wabunge au madiwani waliopo madarakani kwa kufanya mikutano ya siasa bila kufuata taratibu za chama na taarifa zao zipelekwe makao makuu ya CCM. Mangula alisema: "Ni mwiko kwa kiongozi au mwanachama yeyote wa CCM kuunda vikundi visivyo rasmi ndani ya chama au kushiriki katika kampeni za uchaguzi za chinichini kinyume na ratiba ya uchaguzi na taratibu rasmi zilizowekwa." Source: Mwananchi Jumatano

CC Zitto kabwe, na vibaraka wake....
 
Last edited by a moderator:
ccm bana ni fulu komedi, mungu ni mwema kibara wao zitto naona anaondoka na watu wake....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom