CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.

Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.

“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.

Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”

Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.
Huko ccm hakuna msafi wote wapigaj
 
Hii shule haina kapicha naona inasemwa sana!!
Bulembo kweli huyu mzee kapungukiwa sana, Ndo alikuwa nabweka mara baada ya Polepole kuongea! Kweli sio kila kwenye muvi ana akili wengine kama huyu mzee ni wakuhurumia tu! Eti anauliza ana mda gani chamani, Hivi nyie mnaojiita wakongwe kwenye chama ndo mnavyodanganyana? Waliokuja juzi wawaache muibe mtakavyo?
 
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.

Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.

“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.

Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”

Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.
Acha wachinjane tu, shule za wakoloni za urithi zikawa za sisiem, viwanja vya mpira vyote vimejengwa kwa jasho la wananchi ni vya fisiem,... Majosho na majengo ya masoko ni Mali ya ficiem.. guken
 
Polepole endelea kuwafurumsha wahuni
Ana tapa tapa tu, hasira za kukosa kula keki ya taifa, ccm wote ni wahuni tu, kwani enzi za mwendazake si ndio alikuwa anakenua tu meno?leo ametupwa nje anajifanya ana uchungu, kamwe hawezi kuamininika tena kama yule polepole wa bunge la katiba.
 
Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”
Jamani kama kuna mtu anafahamu elimu dunia au hata makuzi ya Abdallah Bulembo atuwekee hapa maana majibu yake yananitatiza Sana! Mtu ambaye amewahi kuwa kampeni meneja wa rais ndiye wa kujibu hivi, kweli?
 
Bulembo ni mhuni haswaa kwa miaka mingi na hii itakuwa kweli kwa namna alivyo mlafi.
Wahuni wenzake wamekaa kimya yeye eti..."unyasi uliosombwa na kokolo.." " uitishwe mdahalo Mimi nitalipia ukumbi..." Bashiru aliniita kunihoji kuhusu mali za chama nikamgomea maana alitokea CUF.." alidhani atajibiwa na hao aliowashambulia, wananchi tunawajua wabaya wetu....
 
Back
Top Bottom