Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,789
Sawa.... Hivi kwanini hataki kurudi dar?Hizi ni story za hapa hapa jamvini huko njee ni shwari.
Na why mara kwa mara likizo chattle?
Sawa.... Hivi kwanini hataki kurudi dar?Hizi ni story za hapa hapa jamvini huko njee ni shwari.
Yuko dodoma akitoka hko moro.... Alafu dar naonaSawa.... Hivi kwanini hataki kurudi dar?
Na why mara kwa mara likizo chattle?
Chattle ni nyumbani na saivi nahamia chamwino ntakuwa nasaini buku 8 zangu hapa hapa chamwinoSawa.... Hivi kwanini hataki kurudi dar?
Na why mara kwa mara likizo chattle?
Ona sasa mawazo kama haya eti nayo yatainesha kama ccm kuna mgogoroSawa.... Hivi kwanini hataki kurudi dar?
Na why mara kwa mara likizo chattle?
Kutokana na audio ile, ni kwamba unakubaliana nao kuwaOna sasa mawazo kama haya eti nayo yatainesha kama ccm kuna mgogoro
Sio stories, unakumbuka kutekwa kwa msaidizi wa mh zito? Kunamtu hapa aliwapa 24 hr awe amepatikana LA sivyo aliemteka amtaje,nilifikiri porojo,duuuu akapatikana next day,kwao mombasaHizi ni story tu za hapa jf hazina madhara yoyote ni changamsha genge tu na zitaishia humu humu mitandaoni
Watanzania hawaitaki kabisa CCM, Mungu saidia litoke hili joka.
Poleni watumishi maslahi yenu mmekandamizwa miaka 4.
Ndio tunachohitaji watanzaniaKuna mtu anataka kuongoza milele....akishinda 2020 ndo basi tena!
ccm mapande matatu tayariMdharau Mwiba Guu Huota Tende
Utabiri wako mtani kundi lipi kuibuka kidedea?? Maana nasikia kuna viongozi waandamizi awamu iliyopita inatakiwa wakae vizuiziniccm mapande matatu tayari
Linalounga mkono wakosoaji
Bendera fuata upepo
Linalounga mkono utawala wa sasa.....
Hili na bendera fuata upepo sio muhimu sana.... Yanayopewa kipaumbele kwa karibu ni hayo mengine mawili kila moja likitafuta uungwaji mkono... Ni vita inayotokota chini kwa chini kimya kimya lakini soon itakuwa live
ccm mapande matatu tayari
Linalounga mkono wakosoaji
Bendera fuata upepo
Linalounga mkono utawala wa sasa.....
Hili na bendera fuata upepo sio muhimu sana.... Yanayopewa kipaumbele kwa karibu ni hayo mengine mawili kila moja likitafuta uungwaji mkono... Ni vita inayotokota chini kwa chini kimya kimya lakini soon itakuwa live