CCM majaribuni tena! Je safari hii chama kitasilimika tena?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
176,625
2,000
CCM wanajua kutuchezea akili kama haukupasuka katika wakati ule 2012-15 haiwezi, Nachokiona wananchi ndo wanaodanganywa, CCM ni wamoja mtaona mwaka 2020 kwenye mikutano ya kupitisha wagombea wa Urais
Kwenye boxing kila pigo linamdhoofisha adui

Jr
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,745
2,000
Nahisi ni upepo tu wa kushape siasa, hawa jamaa sijawahi kuwaamini, wametufanya tuache kujadili ajenda za kitaifa tunawajadili wao, mwishowe chaguzi zitafika watapewa kura za huruma na wananchi. Hafu kuanzia 2021 tutaendelea kuwalaumu tena.
Kwenye boxing kila pigo linamdhoofisha adui

Jr
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
176,625
2,000
Nahisi ni upepo tu wa kushape siasa, hawa jamaa sijawahi kuwaamini, wametufanya tuache kujadili ajenda za kitaifa tunawajadili wao, mwishowe chaguzi zitafika watapewa kura za huruma na wananchi. Hafu kuanzia 2021 tutaendelea kuwalaumu tena.
Bado sana kwa Tanzania kuwa na think tankers wanaoweza kupanga michezo ya kisiasa kwasasa... Hiyo michezo walicheza Mkapa Jk Lowassa na mtandao wao wote

Jr
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
176,625
2,000
Wacha manyigu yaumane
.
IMG-20190723-WA0115.jpeg

Upumbavu wa wapumbavu... Ni upumbavu upi huo? Na hao wapumbavu ni akina nani hao? Definitely sio wapinzani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom