CCM Mafisadi,CDM Mafisadi,Nape unataka kuanzisha chama ?maana wote umewalipua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mafisadi,CDM Mafisadi,Nape unataka kuanzisha chama ?maana wote umewalipua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fige, May 12, 2011.

 1. fige

  fige JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Harakati za nape sizielewi hata kidogo,kulingana na anayosema kuhusu ufisadi ana maana gani.
  Hakika wananchi wamechoshwa na ufisadi je anataka wananchi wafikirie/wafanye nini

  1.Wananchi wahalalishe au walinganishe ufisadi wa hivi vyama ?

  2.Wajiandae kufanya yanayotokea nchi za kiarabu kutumia nguvu ya umma ?

  Nawaslisha
   
 2. fige

  fige JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kawalipua cdm na kawalipua ccm tumueleweje ?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na bado...
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,687
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  MIMI NI MWANACHAMA WA ccm,ILA HAWA JAMAA WANABOA!!
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  lini kawalipua chadema? kama ungejua kazi ya katibu mwenezi wa chama kama ccm wala usingehangaika kujiuliza maswali yote hayo!!

  ni hivi, kazi yake ni "kusema" ili chama kisionekane kimekufa, ndiyo maana hanyamazi japo kimsingi "hana cha maana cha kusema" kwa vile chadema wanasema, naye lazima aseme. in every action, there is an equal and opposite reaction, nafikiri unaikumbuka kanuni hii mkuu, so propaganda huwa zinaongezeka sana pale ambapo kuna hoja inakielekea chama na ccm kwa ukongwe wake inajua vizuri sana kucheza na propaganda

  kwa vile wao wanamiliki na ku-control media nyingine ambazo hawazimiliki, inaonekana huyo nape kasema sana, lakini inawezekana cdm wamesema zaidi yake na kama wangekuwa na coverage kama hiyo anayo-enjoy basi huenda chama chake kingekuwa kilishafunikwa kabisa

  muhimu kuhakikisha wao hawasikiki kiasi cha kuaminisha wananchi kuwa wamechukua hatua kiasi cha kuaminiwa
   
 6. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu anachofanya Nape:
  1. Sio kuilipua CCM, wala
  2. Sio kukilipua CHADEMA, bali
  3. KUJILIPUA MWENYEWE
  .. HAINA TOFAUTI NA KUJITOA MHANGA
   
 7. fige

  fige JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mkuu ,kuna siku ccm watamkataa na wpinzani watamkataa
   
 8. fige

  fige JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  There you are
   
 9. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nape siku akitelekezwa na Kikwete atajutia maamuzi yake. Maana hata Chadema tutahoji matusi yake dhidi yetu.
   
 10. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Out of your comments about politics, nimependa hapo kwenye blue umenikumbusha enzi za form Two - 3rd Low of Motion -- safi sana Eng. Judy.

  Politics = Science = normal life routines.
   
 11. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  jamaa kawa mpinzani wa cdm...so hatuna mtawala kwa sasa wote ni wapinzani tu!
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Bila kumtaja Sir God Mpendwa judy sijui kama atakuelewa na hiyo equation yako
   
Loading...