CCM maana ya kazi iendelee ni kuzurura?

Wasiposafiri mnasema hawasafiri, wakijitahidi kutembelea wananchi kujua kero zao na kukagua miradi ya maendeleo mnasema wanazurura..
Sijazungumzia viongozi japo nao hawakai ofisini, ninazungumzia wale wanaccm wanaoshinda kwenye matawi kama ndege, wakiona kiongozi anakwenda kukagua mradi watamng'ania aende nao na wakifika huko watajifanya kukosoa ujenzi japo hawaujui.
 
Back
Top Bottom