johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,833
- 141,755
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.
Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.
Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!