CCM London na viongozi wao

Mgaya

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
519
2
Habari toka kwa watu wa karibu kabisa na Maina Owino - huyu kiongozi wa ccm tawi la London zinatoa siri kubwa ya ufisadi wa huyu ndugu. Kwa mujibu wa waliosoma naye Shycom 94-96 na wale waliosoma naye Mlimani 97-00, inaonekana Maina amekuwa anahusika na ufisadi ambao ni wa kiwango cha juu.

Kwa kuanzia tu, habari zinasema kuwa Owino anahusika na upotevu mkubwa wa pesa za Daruso (chama cha wanafunzi chuo kikuu) wakati akiwa huko kama Katibu mkuu wa chama (mtunza fedha).

Mengine zaidi yanafuata.....
 
Heshima mbele mkuu.
unataka kumtangaza rasmi ajulikane kwa watanzania? maana jamaa anania ya kugombea ubunge jimboni kwao, 2005 alipigwa chini na Sarungi kwenye kura za maoni sasa kama ni kampeni mmeanza mapema twambieni.
amesoma Shycom 1994 to 1996 hakuwa na cheo chochote pale shule na aliyokuwa anafanya yanafanywa na wanafunzi wote shuleni hakuwa na kitu cha ajabu.
Labda uandike halafu waliosoma nae watakwambia kama ni kweli au si kweli.
 
Haya basi,

ccm kila mtu fisadi..... Owino amekuwaje tena? Hizo pesa za Daruso alizichukua vipi? UD Alumni mpo?
 
ahaa,

kumbe anagombea ubunge 2010? Inaonekana ccm wameanza kuchomeana kama kawaida yao. Mkuu una habari zake?
 
Habari toka kwa watu wa karibu kabisa na Maina Owino - huyu kiongozi wa ccm tawi la London zinatoa siri kubwa ya ufisadi wa huyu ndugu. Kwa mujibu wa waliosoma naye Shycom 94-96 na wale waliosoma naye Mlimani 97-00, inaonekana Maina amekuwa anahusika na ufisadi ambao ni wa kiwango cha juu.

Kwa kuanzia tu, habari zinasema kuwa Owino anahusika na upotevu mkubwa wa pesa za Daruso (chama cha wanafunzi chuo kikuu) wakati akiwa huko kama Katibu mkuu wa chama (mtunza fedha).

Mengine zaidi yanafuata.....

KIla mtu ukimuona anakufa na CCM na hasa nje ya Nchi ujue ana lake jambo .Sasa haya tulisha yajua siku zote na huu ndiyo ukweli .
 
Haya basi,

ccm kila mtu fisadi..... Owino amekuwaje tena? Hizo pesa za Daruso alizichukua vipi? UD Alumni mpo?

Mwafika wa Kike

Sioni hoja hapa, Mgaya anataka watu waje wajadili mambo aliyafanya Maina akiwa Sekondari..!!

Nasubiri hayo ya Daruso maana huko walau alikuwa na madaraka na akili za utu uzima.
 
Mkuu Yeboyebo,

Kuna mtu hapa marekani alisema kuwa kama wamarekani wangejua mambo aliyofanya Kichaka alipokuwa mtoto na alipokuwa chuoni (yalifichwa kama siri kubwa) wasingefikiria kabisa kumpa nafasi ya juu kabisa nchini.

Je ni kweli haya ya Maina kuhusu Daruso (kama ya high school yakiachwa)?
 
KIla mtu ukimuona anakufa na CCM na hasa nje ya Nchi ujue ana lake jambo .Sasa haya tulisha yajua siku zote na huu ndiyo ukweli .

Lunyungu

Heshima yako.

Unaposema "hasa nchi za nje na huo ndio ukweli" kwa maoni yangu unapotosha; haya matawi huku nje ndio kwanza yanafunguliwa yaani ndio kwanza asubuhi; CCM London ilifunguliwa February/March (kama sikosei) huyo Maina uongozi amechuku November 2007 sasa hayo uliyoyajua kuhusu CCM nje ya nchi ni yapi na uliyajua lini.

Tafadhali, nielimishe na mie nilio gizani...
 
Yeboyebo nitakujibu kwa kifupi kwamba unaweza kuwa unataka kupewa Elimu juu ya hili lakini ukweli ni kwamba CCM na hasa nje ni Chaka la kuficha mengi na kujenga majina .CCM nje ya Nchi kila mshika bango ana agenda yake na huu ndiyo ukweli na umesha anza kuonekana na hasa kwa move za London .
 
Mkuu Yeboyebo,

Kuna mtu hapa marekani alisema kuwa kama wamarekani wangejua mambo aliyofanya Kichaka alipokuwa mtoto na alipokuwa chuoni (yalifichwa kama siri kubwa) wasingefikiria kabisa kumpa nafasi ya juu kabisa nchini.

Je ni kweli haya ya Maina kuhusu Daruso (kama ya high school yakiachwa)?

Mimi sidhani kama wamerekani walishindwa kujua, na kama walishindwa basi hiyo ni kasoro na udhaifu wa Demokrats.

Hayo ya High School itakuwa ni kumuonea pengine hata hakuwa 18 wakati huo; hayo ya Daruso kama yana mashiko naamini forum iko wazi.
 
Mzee Yebo are you in for his defense ?
 
Yeboyebo nitakujibu kwa kifupi kwamba unaweza kuwa unataka kupewa Elimu juu ya hili lakini ukweli ni kwamba CCM na hasa nje ni Chaka la kuficha mengi na kujenga majina .CCM nje ya Nchi kila mshika bango ana agenda yake na huu ndiyo ukweli na umesha anza kuonekana na hasa kwa move za London .

Mhe Lunyungu

Tawi la CCM London unaliogopa nini kulitolea uvivu hapa forum kama kuna moves ambazo hazijakuridhisha.

Vipi mkuu unaogopa Kumkoma Nyani Giladi unazunguka?

Mimi naamini hakuna lolote baya so far kuhusu haya matawi/mashina, ila ni mapema mno kuwaona ni watakatifu au ni chui kwenye ngozi ya kondoo.
 
Mimi sidhani kama wamerekani walishindwa kujua, na kama walishindwa basi hiyo ni kasoro na udhaifu wa Demokrats.

Hayo ya High School itakuwa ni kumuonea pengine hata hakuwa 18 wakati huo; hayo ya Daruso kama yana mashiko naamini forum iko wazi.

Kweli Mkuu,

nimekubaliana nawe katika hili.
Je ni kweli Owino alikula pesa ya Daruso? Kwanza huyu Mgaya yuko wapi kujibu maswali haya!?
 
Maina Owino?
Si Mkenya huyo - angalieni uraia wake!

kwi kwi kwi kwi,

Mwalimu Kalamu..... siku imeanza mapema hapa!
Sidhani kama Owino ni mkenya lakini sitashangaa kama ikiwa hivyo ....lol

Hii issue ya pesa za Daruso sijui kama ni kweli, ngoja tumsubiri Mgaya au waliosoma mlimani 97 - 2000 kama ilivyosemwa hapa!
 
Hii isse itakuwa imemgusa sana YEBO YEBO

yaani mtu huyu alikuwa kimya halafu all ofb a sudden kwenye thread ya kumchambua Owino amerudi as if kanywa RED BULL

duh! noma tupu

sasa swali, je mmeshapewa taarifa za pesa mnazoandaa mkutano huko London? maana kuna habari kuwa ugomvi huu source ni hizo £60,000 zilizotolewa na jamaa wa Commonwealth

hebu tufafanulie
 
Back
Top Bottom