CCM kwenye chati

singsong

Member
May 7, 2014
77
9
Ni ukweli usiopingika kuwa sasa Ccm imerudi kwenye chati wakati vyama vingine vikipoteza mwekekeo wa kisiasa.
Ukawa uliibuka bunge la katiba ndio unavimeliza kabisa wapinzani .vyama viliungana bila kufikiria madhara yake na kutushirikisha wanachama au vikao halali. Tunaunganaje bila utaratibu ? Tumeungana kwenye lipi na lipi hatujaungana?

Jamani tuwe makini na huu mungano! !!!!!
 
Back
Top Bottom